Onyo kwa wanywaji wa "Chai ya moto" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo kwa wanywaji wa "Chai ya moto"

Discussion in 'JF Doctor' started by Ladslaus Modest, Apr 2, 2009.

 1. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  CRAP!

  ...mara Usinywe maji baridi, mara usinywe maji mengi, mara ule matunda, mara usile matunda kila siku, mara unywe mvinyo mwekundu, mara usizidishe glass ya mvinyo.....kifupi, wanasayansi wameshindwa kugundua chanzo cha Cancer, aka kansa aka saratani!.......

  "kansa yaweza mkumba mtu yeyote, wakati wowote, mahali popote bila sababu yeyote! " ( ya uncontrolled cells growth)...fullstop!
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Ugali moto na mboga moto yenye pilipili kibao je?
   
 4. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,670
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa wanatuchanganya sana. Mara chumvi ina athari kwa afya yako, mara chumvi ni nzuri kwa afya yako. Mara kahawa, Mara Wine, Mara Chocolate wanakuwa kila wakati wanatoa habari ambazo zinapingana pamoja na kuwa ni Wataalamu. Leo watakwambia kitu hiki ni kizuri, kesho wanageuka. Raha ya chai kunywa ya moto, nani atataka kunywa ice tea!? Niliijaribu mara moja wala sina mpango wa kuigusa tena na Chai iliyopoa kwa maoni yangu si chai. Ni bora wanyamaze tu kuliko kuto info ambazo zinapingana kila baada ya muda.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,670
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha kumbe wapenda pili pili tuko wengi :) hiyo hiyo ni cancer moja kwa moja maana hapo ni moto mtupu tumbo lingekuwa linasema lingekujia juu :)
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Du! Ee bwana BAK ee!
  Pilipili nimeila sana, tangu nina miaka kama 7 au 8 hivi.
  Si unajua tena kule kijijini siku tukila nyama, watu wazima na uchoyo wao, basi wanatia pilipili ndani ya supu ili ussindwe kula.

  "Asiyeweza kula pilipili maharage na mchicha hivyo hapo"

  Basi huku machozi yakilengalenga inabidi ujimwage hivyo hivyo ili mradi ule nyama. Ukikosa mlo huo subiri siku kuku kachanjwa na mwewe au kafa kwa kepetupetu.

  Kwangu pilipili ni kiungo safi tu.

  Nijuacho mimi ni kwamba kila utafiti una limitation zake ambazo waandishi wengi wa habari wanadhani si za muhimu.

  Cancer hapati kila mtu kwa sababu kuna watu miili yao ikowired kufight kila gonjwa mpaka Ukimwi.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,448
  Likes Received: 81,670
  Trophy Points: 280
  LOL!...Ulikuwa unaingizana tu katika bakuli la nyama pamoja na kuwa kuna pili pili kibao. Ni kweli pilipili ni kiungo muhimu sana kwenye mboga. Mie bila pilipili kwa kweli chakula nakiona hakina ladha kabisa...nyingine huwa zina ukali si wa kawaida kama pilipili kichaa lakini huingizana nazo tu :) maana chakula kinanoga mno nikitoka hapo nikinywa glass zangu mbili za maji nasahau hata kama nilikula pilipili :)
   
 8. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Kama pilipili nayo inaleta Kansa basi kazi iko kweli.
  Nakumbuka nikiwa Jeshini kule Buhemba tulikuwa na zao la Pilipili kichaa basi ukijifanya mgonjwa siku hiyo unaambiwa kuchambua pilipili.
  Sasa sahau jifute jasho usoni na mkono wenye pilipili, uso wote unawaka moto, ikiingia jichoni hicho ni kilio cha masafa marefu.
  Nakumbuka mwanadada mmoja ilibidi alazwe sibitali siku 3 macho hayaoni kabisa.

  Kuhusu chai basi naona tuige wenzetu hapa Marekani wanakunywa IceTea, tutambiwa mapande ya barafu nayo yanaleta kansa.
   
 9. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Solution hapa ni ice tea.
   
 10. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  I do not think it is completely crap. Although anybody can get cancer (or many other diseases), there are varying risks among people.

  First of all, cancers have multiple causes each contributing kidogo kidogo.
  The role of research is to identify these multiple risk factors so that recommendations can be given to REDUCE the risk of getting (not completely eliminate the risk) cancer.

  Secondly, sio kweli kuwa wanasayansi wameshindwa kugundua chanzo cha cancer; vyanzo vikuu vya baadhi ya cancers ziko well established kwa mfano saratani za shingo ya kizazi (HPV), maini (hepatitis B), mapafu (cigarette), matiti (genes) n.k.

  Thirdly, katika utafiti wa kisayansi, mara nyingi hakuna majibu ya 1+1=2; namaanisha the truth about something is out there but depending on methodology and level of knowledge at that time you get be right ama wrong. Hii ni kweli kwenye masuala ya biology, physics na kadhalika. Mi nadhani hii ni kweli kwenye kila kitu hata watafiti wa historia wanaweza kupingana katika tafiti zao kutokana na source ya information.

  Fourth, vyombo vya habari vina tabia ya ku-report kitu kimoja kimoja kama hivi kwa hiyo ukivifuata waweza kupotea. Kwa ujumla wanasayansi bado hawajajua namna gani ya ku-communicate findings zao na wananchi. Kwani kutoa recommendations inabidi kuangalia evidence kutoka katika studies nyingi sio moja.

  Mwisho, contoversies ni muhimu ili research ziendelee (grants, mishahara nk) la sivyo watakosa ajira sio! [Sidhani lakini kama hii ni sababu muhimu! walikutana lini na wapi kufanya kikao cha kupanga njama hii!]
   
 11. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Rubbish!


  Apparently, this is the case only in Northern Iran. Haioneshi kama walikwenda bara lingine lenye high rate of tea drinking habits!
   
  Last edited: Apr 2, 2009
Loading...