irregular period | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

irregular period

Discussion in 'JF Doctor' started by dida_edi, Mar 13, 2009.

 1. d

  dida_edi New Member

  #1
  Mar 13, 2009
  Joined: Feb 18, 2007
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu ndugu zangu, kuna dada mmoja ana mtoto wa miezi sita na anamnyonyesha tatizo ni kwamba amekuwa anachelewa kuingia katika siku zake anaweza kufika hata siku 39 na siku ya 40 ndo akaingia huu ni mweze wa pili aningia namna hiyo nini tatizo kama kuna mwenye kujua naomba munieleweshe.
  ahsanteni
   
Loading...