Kusinziasinzia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kusinziasinzia

Discussion in 'JF Doctor' started by Chocolate, Mar 3, 2009.

 1. Chocolate

  Chocolate Senior Member

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  :confused:Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata ufumbuzi. Je hali ya kulala lala na kusinzia wakati wote hata kama ni asubuhi kwenye gari wakati wa kipindi hicho nayo husababishwa na nini? Na utatuzi wake kitaalamu ni upi?
   
 2. Chocolate

  Chocolate Senior Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata ufumbuzi. Je hali ya kulala lala na kusinzia wakati wote hata kama ni asubuhi kwenye gari wakati wa kipindi hicho nayo husababishwa na nini? Na utatuzi wake kitaalamu ni upi?
   
 3. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Thanks kwa swali zuri, Jf vipi tuko wengi tungependa kufahamu hili!
   
Loading...