msaada tutani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tutani

Discussion in 'JF Doctor' started by Raia Fulani, Mar 27, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wadau ningependa mnijuze na ikiwezekana kupata tiba ya huyu mzazi wangu. ni kwamba, aliwahi kupata ajali miaka mingi iliyopita na kuumia mguu (hii sehemu ambayo unaweza kupigia mpira) Kilichifanyika, alitolewa ngozi kiasi sehemu ya mwili ikawekwa pale mguuni. sasa miaka hii ya uzeeni, mguu ulikwaruzika na ile ngozi inakuwa ngumu kushikana na kufunga, so kidonda hakiponi na ni muda sasa. nahitaji sana apone lakini pamoja na juhudi za hospitali bado panasumbua. hopefully kuna mwana JF atakayekuwa na suluhu katika hili. naombeni mawazo yenu
   
 2. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pole, inafaa umpeleke hospitali ya kueleweka. Vidonda vidonda kwa watu wazima yaweza kuwa chochote- hata kansa, ama kutokupona shauri ya magonjwa kama kisukari. Anaishi wapi?
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2009
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Safiri ukamwone Doctor Bake pale Burere Kibaha
   
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kwa mchango wenu. bila ya shaka hana sukari na pia anasema hamna maumivi ya ziada sana zaidi ya eneo la mguu. kumbuka kuwa hiyo sehemu ya kidonda ina ngozi nyepesi sana. sio ngozi yake asilia kwani ilipandikizwa hapo mguuni tu. yuko hapahapa bongo- Tabata
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 28, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  so nikifika kibaha niulize wapi zaidi, au ni pale hospitali ya Tumbi?
   
 6. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  kama yuko tabata, mpeleke muhimbili. ni-pm kama wataka contact persons.
   
Loading...