Tatizo la Ugonjwa wa Kiharusi kwa Waandishi wa TV/Redio Kagera


Mathias Byabato

Verified User
Joined
Nov 24, 2010
Messages
919
Likes
65
Points
45

Mathias Byabato

Verified User
Joined Nov 24, 2010
919 65 45
Wataalamu wa afya wasaidie waandishi hawa na tatizo la kuanguka (kiharusi)

Alianza Bw Raymond Owaman wa Star TV na RFA ambaye hadi sasa amelazwa na jana alianguka Ben Rwegasira wa TBC,hadi sasa yupo hospitali ya mkoa kagera hajitambui

Wote ni wa Kagera na walikuwa marafiki

Wenye kujua tatizo kama hilo asaidie maoni.
 

Forum statistics

Threads 1,204,200
Members 457,149
Posts 28,145,739