Pole sana ndugu yangu. Vipi ilipasuka au?kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,
Hii ndo mnaita kusoma kati ya mistari?Pole sana ndugu yangu. Vipi ilipasuka au?
kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,
Watu wanakosea wanapofikiri michuniko ni ile mpaka uhisi umechunika, tunaongelea hata kwenye microscopic level. But anyhow chance za kupata ukimwi sio kubwa kama unavyofikiri, probably U r fine, tumia kinga next time.
Kufanya NGONO bila kinga ni kujihakikishia maambukizi ya UKIMWI/VVU! Kaitaba, michubuko inayooogelewa na wataalam ni "microscopic". Chukua pilipili jipaka kwenye uume and utakuja fahamu kuwa aina ya michubuko inayoongelewa!
Una maanisha nini kwa kusema KINGA? is it kondomu? mie ninaona kondomu bado haiwezi kuwa kinga ya VVU.
Mpenzi mmoja ambaye hajaambukizwa - kinga yenyewe ndio hiyo Charity!
kama ulikula denda na huyo binti ana vidonda vya mdomo basi hiyo pia inaweza kusababisha kuupata. Umecheza peku peku viwanja vya ugenini?
Asante Kaitaba kwa topic yako umeelimisha wengi, pia nakushukuru Masanilo kwa jibu lako zuri. Nimeipenda hii thread unajua Kaitaba umeokoa maisha ya watu wangapi kwa thread yako hii? be blessed.
kawaida ya kondomu ni kuzuia usipate ukimwi, inakuzuia kwa kukukinga na michubuko iwapo itatokea usipate ukimwi, Swali ni, je! kama sijatumia kondomu lakini sikuchunika naweza kupata ukimwi?,
Misleading statement hii! Kwenye mapambano zidi ya ukimwi ifike wakati spade to be called a spade and not a big spoon....