manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,728
Wajameni naomba ushauri wenu wa kitaalam,kama wiki 2 zilizopita nilifanya mapenzi na msichana mmoja bila kutumia kinga sababu nilikuwa namwamin na ni msichana wangu wa siku nyingi ila baada ya siku kama 2 kupita nikaanza kuuisi muwasho chini ya uume kwa ndani ya mrija, sa naona hali ianzidi badilika badala ya mwasho nahisi maumivu chini ya uume haswa sehemu ya kichwan.
Ni mara ya kwanza mi kupata tatizo kama hili, wataalam msaada wenu wa haraka unahitajika ,
1.itakuwa ni ugonjwa gani?
2.na tiba yake ni ipi?
3.na kama yule msichana nae anao mbona ye yupo normal yaan hata ahisi muwasho?
4.na huo ugonjwa unaambukizwaje hasa kwa wanawake? Ili nijue maana huyu binti hakuwai kuniambukiza wakati wote nilipokuwa nae.