Kuna msemo wa kiswahili unasema "usipoziba ufa utajenga ukuta"
inasikitisha kuona maelfu ya watanzania wakipoteza imani kwa matibabu yanayotolewa na hospitali hususani kwa magonjwa sugu kama...
Habari zenu wana Jamii...
Ninasumbuliwa na tatizo la kuumwa na kichwa kwa siku 9 sasa, na mara ya kwanza nilidhani ni malaria ndio inayonisumbua lakini haikuwa nilifanya medical test hospital 3...
mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika.
Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
Pima uwezo wako wa kukumbuka, hii itasaidia kuonesha ikiwa umri wako ni sawa na umri wa akili yako.
Fungua "link" hapo chini.
1. Anza na "Start"
2. Subiri 3,2,1
3. Zitatokea nambari bila mpango...
In Summary
Asbestos proved to be an invaluable material in construction because of its properties and durability. But research has shown that contact with it can causes various cancers, Sandra...
Swali: Eti sabuni inaweza kubeba bakteria au wadudu wanaoweza kuambukiza magonjwa?
je sabuni zote ziko salama? na kama haziko salama mtumiaji afanyeje kabla ya kutumia?
A California company has recently launched an interesting new product which may signal a major breakthrough in weight loss. The company, SENSA, came up with an innovative way to convince the brain...
Kwa wakazi wa arusha watakua wanaifahamu vizuri hospitali ya seliani town clinic.ina sifa ya kuwa na vifaa vizuri na wahudumu wakarimu, lakini ina dosari ifuatayo;
huduma zake ni za bei ya juu...
Kwa ujumla wake, karoti ni mboga yenye kiasi kingi cha Vitamini A. Mbali ya vitamini hiyo, karoti ina virutubisho vingine muhimu vyenye uwezo wa kuzuia magonjwa hatari, kama vile saratani, moyo na...
Wanandugu wa JF kwanza habari zenu wote.
Mimi ni mgeni kuchangia/kupost katika jamvi hili,ingawa nimekuwa ni mfwatiliaji mzuri wa forum hii, ninaipenda sana.
Leo nimeona bora niingie kuuliza...
Wakuu nina tatizo. Kuna uvimbe umejitokeza chini ya shavu la kulia.
Nilienda hospitali wiki mbili zilizopita wakaniambia ni aleji na kunipa ethromaizin kutumia kwa wiki mbili, niliambiwa lengo...
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone.
Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye...
Wabongo jamani wana bongo, kumbe wengi spana mkononi! Nimeamini kabisa kwamba usianzishe ugomvi ukapigana unaweza kuua.
Karibu Wabongo wote ni wagonjwa, ukitaka uthibitisho mwulize Babu wa...
Samahani doctor, nina tatizo la moyo kudunda kwa kasi bahadhi ya muda sio kila wakati, nimepima hospitali nimekutwa sina tatizo lolote.
Je tatizo linaweza kuwa nini na dawa yake ni nini?
Mabibi na ma bwana
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwaeleza
Ukweli kuhusu huyu mtu..
Huyu mtu maneno yake na jina lake
Yanaendana kama
Samaki na maji
mizizi na ardhi
Wanyama na...