kutetemeke mikono kunasababiswa na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kutetemeke mikono kunasababiswa na nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by The Kop, Mar 23, 2011.

 1. The Kop

  The Kop JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2010
  Messages: 208
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika. Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
   
 2. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  N kuwa na tension na kutojiamini na unachofanya
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  parkinson disease km muhamad ally
   
 4. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160

  Kutokana na uwezekano huo ni bora ukaenda hospitali.
   
Loading...