Hivi nini kinamsumbua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi nini kinamsumbua?

Discussion in 'JF Doctor' started by luckyperc, Mar 18, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Demu wangu kila nikikutana nae kimwili anadai namuumiza, niDO taratibu asichubuke.

  TATIZO NI NINI MSAADA.
   
 2. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  muongo
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Maandalizi finyu!Unaharaka umeambiwa viungo vinakimbia?
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,623
  Likes Received: 375
  Trophy Points: 180
  muandaê mwenzio kwanza au una hii ============!> na hauna hii ====!> ?
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,221
  Likes Received: 4,018
  Trophy Points: 280
  Ukiwa naye kitandani jaribu kumchezea mwili wake kutoka juu mpaka chini kwenye Ukeni wake uwe kama unavyo chezea Keyboard yako ya Computer taratibu kama

  dakika 5 au 10 kabla hujafanya nae mapenzi atatoka kwa chini majimaji ukeni kwake hiyo itakusaidia wewe kufanya tendo la ngono kwa urahisi kisha unaingiza hiyo

  Ndizi yako taratibu basi wote wawili mtakuwa mnasikia raha. Au kama umeshamchezea mwili wake mpaka chini lakini kule ukeni kwake hakutoki umaji maji

  jaribu kumpaka ukeni kwake huyo Mwanamke wako Cream yoyote ile kabla hujafanya nae tendo la ngono hiyo itasaidia huko ukeni kwake kuwa laini na wewe kuweza kuingiza utupu wako kwa urahisi zaidi. Sio ukisha ingia nae chumbani wataka tendo la ngono kabla ya kumchezea mwanamke ndio maana analalamika unamuumiza usifanye hivyo.
   
 6. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  maandalizi yanakuwepo, na tena huwa anasema basi TAYARI.
  ila nikishaanza kuingia ananishika tumbo kwa mikono yake.
   
 7. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Pole mkuu! Vp kuhusu umbo la nanihii?
   
 8. S

  Strategizt Senior Member

  #8
  Mar 24, 2011
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 174
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Au ndizi kubwa????? kama siyo hivyo mi nadhani uongeze muda wa maandalizi hata akikwambia basi wewe endelea muandae kama ulivyoelekezwa hapo juu na Mzizi mkavu usiwe na papara. Na maandalizi yako inawezekana unagusa kwenye wrong parts jaribu kumdodosa maana huenda unangangania kwenye nyonyo wakati yeye haposio penyewe. Go extra mile and know where to touch!!!
   
Loading...