Tatizo hili lasababishwa na nini na jinsi gani kuepuka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo hili lasababishwa na nini na jinsi gani kuepuka?

Discussion in 'JF Doctor' started by noella, Mar 21, 2011.

 1. n

  noella Senior Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wanandugu wa JF kwanza habari zenu wote.

  Mimi ni mgeni kuchangia/kupost katika jamvi hili,ingawa nimekuwa ni mfwatiliaji mzuri wa forum hii, ninaipenda sana.

  Leo nimeona bora niingie kuuliza swali.kuna jambo linanitatiza wakati wa kusex..huwa nikimaliza kusex kuna sauti inatika kubwa sana ukeni mwangu kama vile sauti ya kupumua na inakwua kama hewa inatoka na hurudia kama mara tatu hivi.
  mwenza wangu hajawahi kulalamika ila mimi mwenyewe siko comfortable najua na yeye anahisi hivyo ila hawezi kunambia.
  Je hii husababishwa na nini?na jinsi gani kuiepuka?Imenitokea kama mara mbili hivi nakosa raha mno.

  Nisaidieni kwa mawazo na solution tafadhali.

  Asanteni
   
 2. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmmmh!!!! hii mpya kwangu. tusubiri wataalam waiweke sawa.......
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Karibu Noella ingawa hujapiga hodi...ila kwakuwa umekuja na tatizo lazima tukukaribishe kwa upole usije ongeza tatizo lingine.... La kwako geni kwangu, ngoja wataalam wetu wengi wameenda kwa babu lakini utapata majibu muda si mrefu maana wengi wao wataingia muda si mrefu kutoka Loliondo na utakuwa sawa tu .
   
 4. n

  noella Senior Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kumbe nimeingia jamvini kiholela!
  mnisamehe bure tu wanajamvi mana nimechanganyikiwa sina raha ikifikia muda wa majamboz najishauri
  ngoja nirudi kupiga hodi lakini :smile: mnikaribishe ee
   
 5. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Dada Noella hiyo ni hewa...kuna style wakati wa ku'do' especially unazotanua sana miguu (commonly style za doggie, leg extended missionary, woman on top squatting etc.. ambazo huwa zinallow deep penetration) huwa zinaruhusu hewa kuingia ukeni wakati shemeji anapump. Kwa kawaida uke huwa unarelax kuallow kuextend wakati wa pumping kama 'reflex' kuepusha uume usiguse shingo ya kizazi (cervix) na kusamabisha maumivu, hii huongeza uwezekano wa kujaa zaidi hewa. Sasa mnapomaliza tendo na uume kuchomolewa, uke nao unarudi katika hali ya kawaida unasukuma ile hewa itoke...kwa hiyo unatoa sauti kama 'kujamba' hivi. Wakati mwingine yaweza tokea hata wakati tendo linaendelea.

  Japo haitokei kwa wanawake wote, sio kitu kibaya au cha kuona aibu especially kama mwenza wako ni muelewa. Lakini kama ni mwanaume mpya na unaona anaweza akakwazika na hiyo hali...basi avoid hizo style zinazokufanya upanue miguu sana, au kama ni muhimu kuzifanya basi usijiachie miguu sana, hii itapunguza uwezekano wa hewa kuingia nakupata adha hiyo.
   
 6. n

  noella Senior Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Asante sana Riwa kwa ufafanuzi..nimeelewa..nilikuwa nina hofu sana. well, huyu ni mume wangu nimeishi nae miaka saba,na haijawahi kutokea hivyo before hii ilikuwa ni mara ya pili kutokea so nikawa nina hofu ingawaje ye hajasema kitu.
  Nashukuru sana, nitajaribu kupunguza hizo style.

  Ubarikiwe
   
 7. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pole xana ndugu yangu kwa matatizo uliyonayo ila fuata ushauri uliopewa na mdau Riwa waweza kukusaidia!
   
 8. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  It's common Problem among women, and get relieved to find that u are not the only one to experience this. Now, Learn. The vagina may have a tendency to make a "farting" noise when air is rushed in. The noise itself as actually called "Queef," which is properly defined as "Vaginal flatulence (flatus vaginalis in Latin) is an emission or expulsion of air from the vagina that may occur during or after sexual intercourse or (less often) during other sexual acts, stretching or exercise." Personally, the word "queef" is a funny, yet unusual word to call it. Also, women who've experienced this have said it most likely happens when they are having sex in the Doggy Style position. Coincidentally enough, the same happens for you.

  So... is there a way to make it stop? In all technicality, there's no real way to eliminate queefing permanently. However, there are things that help:  Try switching positions. Most women claim to queef while having sex doggy style.
  Ask your partner to not pull out completely during sex, as it will possibly decrease the amount of air coming in.
  Vaginal exercises. Yeah, I know how it sounds, just go with it. I've read that some women flex the vaginal muscles at least 200 times a day, and that helps decrease the queefing. Never tried it?, but hey! give it a shot.
  The best overall way to help with queefing is to LAUGH about it. Ladies, you can't stress enough how completely natural and normal queefing is. Sex is NOT perfect, nor are we. How is it that we are comfortable enough to bear the noises of the heavy breathing, the slapping, squishing sounds during sex, but are head over heels embarrassed with a little fanny fart?

  Now, feel one hundred and ten percent comfortable with your body, and most times barely pay attention when you queef. Learn to accept that it's natural and that u are not the only one. This doesn't happen only during sexual intercourse. It can happen while stretching or exercising.

  On a more serious note, air being forced into the vagina can cause air embolism, which is done in order to cause vaginal flatulence during cunnilingus, and can develop gas bubbles in the bloodstream. This can be life-threatening to those who are pregnant.For Men So, please don't blow air in someone's vagina just to get a fanny fart out. Just turn them around, or lift their legs up high, and there you go!

  Nafikiri utakuwa umepata jibu la kutosha kama unahitaji maelezo mengine ya ziada usisite kulialifu jamvi,otherwise kama itakusaidia Toa asante kwa jamvi!
   
 9. n

  noella Senior Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  :smiling: Asante Marshal, nimeelewa sana tu nashukuru...i'll feel comfortable now that i know it's a normal and natural thing.

  Asnateni wanajamvi wote kwa ushauri na kuonyesha kujali.
   
 10. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  yep! I have experienced this once or twice whilst making love to my wife doggystyle...yes its just air! So don't worry laugh about it and carry on! Otherwise naona experts wametoa maelezo ya kutosha
   
 11. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
Loading...