Kumbe Wabongo iko gonjwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Wabongo iko gonjwa!

Discussion in 'JF Doctor' started by EMT, Mar 20, 2011.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wabongo jamani wana bongo, kumbe wengi spana mkononi! Nimeamini kabisa kwamba usianzishe ugomvi ukapigana unaweza kuua. Karibu Wabongo wote ni wagonjwa, ukitaka uthibitisho mwulize Babu wa Loliondo. Msururu ule wa wazee, vijana, wanawake kwa wanaume, kwenda Samunge ni uthibitisho tosha kabisa, kwamba tulikuwa tunajikausha tu kumbe iko gonjwa.

  Vigogo na masikini, sooote maselule tupu. Kikombe cha Babu kimetutanabahishia kuwa kumbe ni ujanja tu, hatuna kitu, nani atabisha kuwa hajakanyaga miwaya, lakini akifika kwa Babu anasingizia kisukari? Wapo wengi wa aina hiyo, tunashukuru Babu hapimi. Na kama Babu angekuwa na hadubini za kupimia virusi, naamini Wawa Lali asingepiga marufuku haya mapaparazzi kumuhoji na kumpiga picha Babu, kwa sababu hata hivyo nani angejipanga msururu ule kupimwa ngoma? Thubutu!
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli , so you did not know?
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  iko gonjwa sana,tu hoi mahututi....
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Kazi kwelikweli
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Ujue wengine wana magonjwa ya kufikiri tu.
   
 6. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  We unafikiri mchezo kuanzia Jk, pinda mpaka watoto.
   
 7. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  solution ni ku check afya zetu mara kwa mara hata kama hatuumwi na siyo kwenda kwa babu loliondo
   
 8. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Babu anaweza kutoa statistics nzuri sana ya idadi ya wagonjwa Tanzania,
   
Loading...