heart beats | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

heart beats

Discussion in 'JF Doctor' started by kamikaze, Mar 21, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Samahani doctor, nina tatizo la moyo kudunda kwa kasi bahadhi ya muda sio kila wakati, nimepima hospitali nimekutwa sina tatizo lolote.Je tatizo linaweza kuwa nini na dawa yake ni nini?
   
 2. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Yaani umepimwa hospitali huna tatizo, kweli unategemea daktari wa online akakwambia unaumwa nini? au huwaamini walokupima?
  Jaribu hospitali nyingine.
  By the way palpitations (moyo kwenda mbio) zinaweza kusababishwa na mshtuko pia au wasiwasi ulipitiliza ambapo mwili huzalisha catecholamines kwa wingi ( nadhani unakumbuka form four ile hormone adrenaline ya fear, fight and run) hufanya moyo uende kasi kuongeza mwili wa damu kwenye misuli ili ujiandae kuikabili hatari iliyoko mbele yako. If fear and worries are the sources of your palpitations then hospitali hawataona ugonjwa.

  Kamuone Dr Mwandolela, Heameda Clinic Upanga, Scouts Headquarters karibu na diamond Jubilee, ni cardiologist (daktari bingwa wa Moyo), akikwambia huna tatizo ujue kweli huna tatizo, he is good.
   
Loading...