Imeifanya nicheke sanaaa

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone.

Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye hazitaki(babu). Sasa leo nimesikia kwenye redio "MAGAZETI" kwamba kapigwa stop mara moja na serikari sijui ya kijiji (Imeniacha kidogo) Nikajichekea kimoyo moyo kuona wahuni wanataka kujipenyeza watapeli watu.

Huyo ameshachelewa kabisaa maana wagonjwa maelfu wesha tibiwa huko Samunge na bado wengine wapelekwa.
 
achaga noma na hawana aibu hawa jamaa
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone. Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye hazitaki(babu). Sasas leo nimesikia kwenye redio "MAGAZETI" kwamba kapigwa stop mara moja na serikari sijui ya kijiji (Imeniacha kidogo) Nikajichekea kimoyo moyo kuona wahuni wanataka kujipenyeza watapeli watu!! Huyo ameshachelewa kabisaa maana wagonjwa maelfu wesha tibiwa huko Samunge na bado wengine wapelekwa
 
achaga noma na hawana aibu hawa jamaa

Nimeambiwa na rafiki yangu wa huko kuwa wazee wa kichaga wenye hela zao wamempa kipondo jamaa kidogo wammuvuzishe out of the world. Kume alikuwa anachota maji ya bombani na kuwaambia imani yao itawaponya na ni sh 500/- ileile. Duh utani mwingine haufai kabisa
 
...Lakini nimesikia tayari 'babu huyo mya' ameshanywesha vikombe mamia.
 
...Lakini nimesikia tayari 'babu huyo mya' ameshanywesha vikombe mamia.

Ndipo aliposhtukiwa kuwa ni tapeli kwa kuchezea wagonjwa!! Mbaya sana kumchezea mgonjwa unaweza kusababisha kifo chake
 
Kuna mchaga mmoja kule maeneo ya ROMBO naye alijitangaza eti kaoteshwa na bikira maria watu waende wakapige kikombe ili wapone. Naona aliona babu anacheza wakati hela nje nje wakati yeye hazitaki(babu). Sasas leo nimesikia kwenye redio "MAGAZETI" kwamba kapigwa stop mara moja na serikari sijui ya kijiji (Imeniacha kidogo) Nikajichekea kimoyo moyo kuona wahuni wanataka kujipenyeza watapeli watu!! Huyo ameshachelewa kabisaa maana wagonjwa maelfu wesha tibiwa huko Samunge na bado wengine wapelekwa

bado nacheka. mchana mwema. sijui waliishaenda wangapi?!
 
wala sio mchaga ni mwananchi wa arusha huko alikuwa akiishi huko rombo
 
Back
Top Bottom