Umri wako ni sawa na umri wa akili yako?

MAMMAMIA

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
3,811
1,603
Pima uwezo wako wa kukumbuka, hii itasaidia kuonesha ikiwa umri wako ni sawa na umri wa akili yako.
Fungua "link" hapo chini.

1. Anza na "Start"
2. Subiri 3,2,1
3. Zitatokea nambari bila mpango, bonyeza kila nambari kutoka nambari ndogo kuelekea kubwa
4. Fanya hivyo mpaka mara 10.

Baadaye compyuta itafanya hesabu, nambari itakayopatikana ndio umri wa akili yako. Ikiwa ni nambari kubwa, jaribu tena.
 
Mkuu nimejaribu, nimekosea mara mbili. Lakini wamenipa umri mkubwa zaidi ya umri wangu halisi. Ina maana akili yangu ndiyo ina umri walionipa au?
 
hawajakosea kwani unataka kuniamia kuwa wewe hujafikisha miaka 40?
 
Ilivyo hasa ni kuwa idadi unayopata kutoka kompyuta iwe ndogo zaidi kuliko umri wako. Lakini usijali, lengo hasa la link hii ni "Memory training" yaani kuifanyia mazoezi akili yako kuweza kuona, kudhibiti na kukumbuka kwa haraka. Keep it up!
 
Bado sana.

Basi nitajaribu tena mkuu.
 
Back
Top Bottom