Hospitali hii inakiuka maadili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hospitali hii inakiuka maadili

Discussion in 'JF Doctor' started by kipindupindu, Mar 24, 2011.

 1. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa wakazi wa arusha watakua wanaifahamu vizuri hospitali ya seliani town clinic.ina sifa ya kuwa na vifaa vizuri na wahudumu wakarimu, lakini ina dosari ifuatayo;
  huduma zake ni za bei ya juu mno,hili linaweza kuwa si hoja bali ubaya wa hospitali hii wakishakula hela za mgonjwa na kuhakikisha mfuko wake umekwisha humpeleka kum-damp katika tawi lao la kijijini.inaelekea hawapendi kukaa na mgonjwa aliye kwenye final stage!inaelekea mnathamini mgonjwa mwenye fedha na mara zinapokwisha basi mnamfanya ni kikaragosi.
  Jirekebisheni kwani huu sio ubinadamu!
   
Loading...