Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Jamani naomba mnielezee,tetanus ni ugonjwa au ni kitu gani? Na kama nikichomwa na msumari na nisipochoma sindano ya tetanus kuna madhara gani?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Hello JF, kuna rafiki yangu ana mba mwilini, kadai ameshatumia dawA mbalimbali bila mafanikio. AfAnyeje?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wat are morning after pills? i thnk i need them 4 my safety
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hivi ni dawa gani inaweza kusaidia kuondoa matiti kwa wanaume?? maana naona ni tatizo linaloongezeka kwa kasi sana na sioni research nyingi zikisuggest njia ya haraka ya kuondoa (apart from...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
kwa mtoto wa miezi mitano kutumia usafiri wa anga/kupanda ndege/flight? Hakuna madhara yeyote? Msaada wenu unahitajika wakuu...Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Jana waziri wa afya alitoa tamko ninaloweza kuliita kali dhidi ya tiba ambazo hazijathibitishwa.alisema dawa ya ukimwi bado haijapatikana kwa hiyo watanzania waache kuzikimbilia.tamko hili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu tha great thinkers! Tafadhalin nimeckia kuna mashine za kuongeza uume ambazo hazina madhara kiafya,hv ni kweli?kama ni kwel zinapatikana wapi?nahitaj mawazo yenu wapendwa!
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimesikia kuwa kuna uwezekano wa binti kufikia kupata mtoto wakati hakuwahi kushuhudia bikraa yake ikitolewa? Je, hili lina ukweli? na ni mazingara gani yanaweza kusababisha hali hii itokee pasipo...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Masturbation is sometimes called "self love" or "solo-sex". It is a normal and healthy activity, and indeed is the way most adolescents discover what makes them feel good before they embark on an...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Living with unhappiness is one of the major reasons of rapid aging. Try to live happily & cheerfully with lots of energy. Proper diet will help you to stay healthy and energetic. It contains a...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau samahanini naomba kujua hivi kuendesha baiskel kwa umbali mrefu kuna faida gani kiafya?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A heterogeneous group of disorders manifested by significant difficulties in the acquisition and use of listening, speaking, reading, writing, reasoning or mathematical abilities. These disorders...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tinnitus is the perception of sounds, noise or ringing within the ears and with no external sound source. Tinnitus is a common problem, in particular among those with hearing loss. Most tinnitus...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu wana jmvi, Hebu nijuzeni ,kunako sita kwa sita ikatokea bwana mzee kapanda kilima kabla hajafika uhuru peak hasa kama inabidi awithdraw na akashindwa kufika kabisa akaambulia premature...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana jamii forum ni muda sasa nkiwa na mpenzi wangu nkienda mara moja nashindwa kurudia..mpaka nipumzike kwa zaid ya masaa sita...na nkianza tena inasinyaa kabla cjafika,tatizo nini?nifanyaje...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari za leo wapenzi wa JF Doctor, Kuna tatizo analo mfanyakazi wangu wa ndani la kujisaidia kinyesi chenye harufu kali sana kiasi kwamba kama akijisahidia harufu inatawala nyumba nzima mpk...
0 Reactions
30 Replies
23K Views
Ufahamu Ugonjwa wa Alzheimer's Utangulizi Ugonjwa wa Alzheimer's ni miongoni mwa magonjwa ya ubongo yanayoathiri...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…