Nguvu ya dawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya dawa

Discussion in 'JF Doctor' started by Quicklime, Jul 22, 2011.

 1. Quicklime

  Quicklime Senior Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jamani wanajamvi ni kweli dawa ikiwekwa kwenye maji inapungua nguvu? Na kama inapungua nguvu hiyo inaenda wapi? Msaada wenu tafadhali....
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  be specific dawa gani..?! kidonge ama iliyochupani
   
Loading...