Is it safe?

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
kwa mtoto wa miezi mitano kutumia usafiri wa anga/kupanda ndege/flight? Hakuna madhara yeyote? Msaada wenu unahitajika wakuu...Asanteni.
 
Haina tabu sana zaidi ya kwamba lazima mzazi/mlezi abebe blanketina mto maalumu,vyakula,toyys,maji, na mtoto akae kwenye kiti kikubwa kama ni mtundu.kitaalamu,kwenye ndege hasa wakati inapaa kuna tofauti ya msukumo wa hewa (pressure)ambayoni kubwa inaweza kusababisha kupasuka kwa ngoma ya sikio,au kuleta msukumo ambao unamfanya mtoto awe kama kiziwi kwa muda fulani,ataathirika pia na pumzi ambayo itakuwa inabadilikabadilika(irregular breathing)na wakati mwingine mtoto anaweza kujijengea kawoga ka misha kama vile mchezaji wa timu watimu ya taifa ya ufaransa yeye ndege marufuku
 
Ndani ya ndege kuna sehemu maalum wanapokaa wazazi wanaosafiri na watoto wachanga, ambapo hupewa uangalizi wa karibu na wahudumu wa ndege
 
Kawaida ndege ikishapaa mtoto anyonyeshwe ili kizibua ngoma za masikio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom