Hili zoezi linafaida gani?

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau samahanini naomba kujua hivi kuendesha baiskel kwa umbali mrefu kuna faida gani kiafya?
 
Faida ni nyingi kwa wanaopenda afya zao: -1=unakata mafuta kwenye mwili kwani unachoma calori nyingi ,-2=ni usafiri rahisi, -3=unakuwa karibu na watu na ardhi, -4=unaona sehemu ambazo kwa gari usingefika, -5=unaimarisha misuli, -6= unaimarisha mapafu,-7= unaimarisha mfumo mzima wa mzunguko wa damu -8=unatengeneza muono mbali wa macho,-10=unatengeneza marafiki
 
'umbali mrefu' unamaanisha upi? Km2, km3 km50 km100??...
umbali huu ni ule wa kuanzia km1 na kuendelea endapo mtu umeamua tu kutumia baiskeli kuelekea sehemu yoyote ambayo barabara inaridhisha na hakuna msongamano wa magari na vyombo vingi vya usafiri.
 
Kwa hio hujui faida za zoezi? Labda hasara kubwa ya kuendesha baiskeli kwenye busy st. Ni hatari ya kupata saratani ya mapafu kutokana na moshi wa magari na maviwanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom