Afya yetu inategemea hisani ya watu wa marekani.....?!

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
Jana waziri wa afya alitoa tamko ninaloweza kuliita kali dhidi ya tiba ambazo hazijathibitishwa.alisema dawa ya ukimwi bado haijapatikana kwa hiyo watanzania waache kuzikimbilia.tamko hili lilitaja tiba ya babu kama mojawapo ya tiba zisizothibitishwa.najaribu kujiuliza ujasiri huu wa kuipinga tiba ya babu wa loliondo ni shinikizo kutoka USA?Kama ni hivi nadhani afya ya watanzania iko rehani!
 
kinachonikera waziri wa afya ametoka kwenye research institute lakini anabehave kama dalali wa frame maeneo ya mlalakua!!!
 
Back
Top Bottom