Kupenda Ngono

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?
 
unaota nini acha hizo kama una kazi lala ukifanaya hivo basi jua nawe ipo siku unafanywa hivo hivo kama unabisha fanaya hadharani utajua joto ni nini. fanya kw amama yako utaona baba yako atakufanya nini.
Conquest-think b4
 
Nadhani kwa mwanaume yeyote rijali hili ni suala la kawaida sana, hata kama haitokei mara kwa mara. cha muhimu jiwekee utaratibu wa kutokuwaza sana ngono na kama una mpenzi wako basi elekeza mawazo yako kwake zaidi.
 
Tatizo litakuwepo tu kama baada ya kupata 'matamanio' hayo inapelekea kufanya matendo mengine k.v. kupiga punyeto, kusaka wanaouza n.k. Vinginevyo kama alivyosema TANMO hapo juu, hakuna cha ajabu sana katika hilo.
 
sasa na wewe ukiwa na hizi pumba, hii thread umeileta ya nini..au ndo walewale..jiangalie kijana
kumbe mkuki kwa nguruwe? Huyu k ndio zake kujibu kimaudhi thread za wenzake.Nilijaribu kumjibu kama alivyomjibu mwana jf jana aone raha yake sasa kumbe yeye anakasirika anatakiwa ajue kama thread unaona haikufai ipotezee kuliko kujibu au kukashfu mawazo ya mtu mwingine.
 
Tunacheka. Lakini kweli hao wagonjwa wa kupenda ngono wapo. Mfano wanaume wanaoamini kuwa hawawezi kulala bila kutia dudu lao mahala. Au hawawezi kulala bila kuwa na mwanamke kitandani. Si wanaume tu wagonjwa hata kuna wanawake wenye ugonjwa huo.

Hao wagonjwa kila mara wanawaza ngono, watapata wapi, wataona wapi. Na hao wagonjwa wakifanya ngono si kwa ajili ya mapenzi ila basi tu mradi wafanye. Wakikosa wanaishia kwenye punyeto. Na mtandao umesaidia kueneza huo ugonjwa.

TIBA NI KUANZA KIDOGOKIDOGO KUACHA KUFIKIRIA KWA KUONGEZA JUHUDI ZA KUFANY A KAZI ZAIDI.FANYA MAZOEZI,ACHIA AKILI IFANYE KAZI ZAIDI KWA MAZINGIRA YASIYO HATARISHI,PUNGUZA POMBE KAMA NI MNYWAJI,PUNGUZA VILEVI ,MIRAA,SIGARA,BANGI,UNGA, NA KUKAA BILA SHUGHULI.ACHANA NA VIKUNDI VISIVYO NA TIJA.SALI HUDHURIA IBADA.MAKONGAMANO,KUWA NA UTII.KAA NA WAZAZI,SOMA ZAIDI VITABU VYENYE MANUFAA,TEMBELEA SEHEMU TOFAUTI ,KUTANA NA WATU TOFAUTI.BADILISHSA MFUMO WAKO WA MAISHA
 
sasa na wewe ukiwa na hizi pumba, hii thread umeileta ya nini..au ndo walewale..jiangalie kijana
jina lako pumbatupu nikujibu nini? ukome kuniita kijana nina umri sawa na babako kama sredi haipandi sepa kuna madaktari wenye weledi zaidi watasaidia
 
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?

Unahitaji maombi! Wasiliana na mchungaji nikuponye na huyo shetani
 
Nina gonjwa hatari la kupenda ngono,kila mwanamke nimuonapo akiwa barabarani namvua nguo pale pale matamanio yamekuwa mengi kwa wanawake.Je madokta tiba yake nini?
Me nakushauri uoe,afu uushinde moyo wako!
 
sidhani kama kamaanisha hivyo pia naamini hata wewe unajua alicho maanisha ila basi tu.ili baraza linoge lazima na maswali kama haya yawepo.safi sana





Siilewi tukusaidieje? maana umesema kila mwanamke istoshe mpaka ndugu zako, hivyo basi unahitaji maombi makali kaka. dah sijui ulizaliwa muda gani kwa hiyo tamaa yako ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom