Siwezi kwenda zaidi ya mara moja

kizazi kipya

JF-Expert Member
Jul 21, 2010
327
62
Wana jamii forum ni muda sasa nkiwa na mpenzi wangu nkienda mara moja nashindwa kurudia..mpaka nipumzike kwa zaid ya masaa sita...na nkianza tena inasinyaa kabla cjafika,tatizo nini?nifanyaje kumalza hili tatizo...naombeni msaada
 
Kwenda wapi mkuu?au sio kuzuri huko ndio maana hutaki kwenda mara kwa mara?
 
ni kwa muda sasa? je na pia huyo mpenzi wako una muda gani naye, ni wako mwenyewe au ni mke wa mtu? coz tatizo lako linaweza sababishwa na mambo mengi mfano woga, haraka, kutotamaniana(kukinaiana)etc. so weka mambo hadharan usaidiwe
 
Pole sana,kwani lazima urudie hapo kwa hapo? yani ukishashuka unapanda tena? vuta pumzi kula ushibe haiondoki hiyoooo.
 
Funga mapenzi miezi mitatu huku ukila kila siku (kiasi) spinach, karanga, pweza, nyama nyekundu , njugu-mawe, matunda, maji lita na nusu kwa siku, mazoezi; Usinywe chai ya sukari, bia, soda na kabohaidreti nyingi; baada ya hapo nenda huko uendako.....; matatizo yakizi muone daktari, naye akishindwa , mshukuru mungu kwa hilo moja unalolipata, jifunze staili zote duniani ili iwe ONE BUT SURE.
 
Duh, pole. Ni tatizo lako la siku zote au limetokea siku za hivi karibuni? Kama la siku zote pengine ulizia wapi ziliko viagra. Kama la hivi karibuni yaweza kuwa mambo mengi na zaidi might be a psychological problem.
 
Pole mkuu,kwanza punguza mawazo mpeanapo mahaba,jaribu kumuomba mwenzio akufanyie vile unahisi utajickia raha but angalizo:do as it is recommemded by either Bible or Quran,usiwe na stress while upo mzigoni ILA hali ikiendelea hvyo kamuone Daktari
 
Hilo ni tatizo la kisaikolojia zaidi mkuu. Inabidi wakati wa gemu uweke mawazo yako yote hapo. Hakikisha pia unapata mwenza unayempenda kwa dhati ili u-enjoy zaidi.
 
Wana jamii forum ni muda sasa nkiwa na mpenzi wangu nkienda mara moja nashindwa kurudia..mpaka nipumzike kwa zaid ya masaa sita...na nkianza tena inasinyaa kabla cjafika,tatizo nini?nifanyaje kumalza hili tatizo...naombeni msaada
Pole kwa matatizo iyo kitu inasababishwa na mambo mengi akili yako yote inatakiwa iwe pale kwenye lile tendo kingine inategemea na mwanamke ulie nae kama ana maujanja ya kutosha unaweza ukarudi ata mara4
 
Siku ukiwa na game, fanya yafuatayo kabla,
1. Hakikisha umepata usingizi wa kutosha
2. hakikisha umekula chakula cha kutosha: supu aina yoyote, ugali/wali samaki, karanga na maji ya kutosha (recommended)
3. mazoezi mepesi mepesi.
4. punguza mawazo na ongeza concentration hasa wakati wa tendo lenyewe.

Ni hayo tu nliyonayo.
 
ni kwa muda sasa? je na pia huyo mpenzi wako una muda gani naye, ni wako mwenyewe au ni mke wa mtu? coz tatizo lako linaweza sababishwa na mambo mengi mfano woga, haraka, kutotamaniana(kukinaiana)etc. so weka mambo hadharan usaidiwe
inakaribia mwaka sasa,ni mpenzi wangu na nina miaka mitatu,nowadays hata nkifanya na mtu mwingine i face the same problem
 
Back
Top Bottom