Kuna mwanamke mmoja nipo nae kwenye mahusiano na huwa tutakutana kimwili mara mbili au mara tatu kwa mwezi.
Mara nyingi tukikutana huwa hatutumii kinga sababu wote tulienda kupima kipimo...
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk.
Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
Habarini wadau.
Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je...
Habari zenu,
Nimekuwa na changamoto toka j3 ya Nyerere day mchana nilikuwa nimekaa sehemu mara nikaona jicho la kushoto linatoa machozi sasa nashangaa hadi leo j5 bado linatoa machozi...
Masaada wakuu
Mtoto n mchanga WA week 1
Na anaswet shingoni ukimpanguza
Anakua kama anababuka
Naomba kujua poda nzuri Kwa
Mtoto
Na ametokwa na vipele
Ambavyo vnakaa kama uzaraha
Ila ukivitumbua...
How Vital Are Your Organs?
Could you live without a small and large intestine, stomach, liver, spleen, and pancreas?
By Howard LeWine, M.D., Harvard Health Publications
Q: I just read about a...
Salam!
Wataalam na Madokta wa jukwaa hili, kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni...
Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu
1. Punyeto ni ugonjwa gani?
2. Nini...
Wana jf naomba mnipe faida na hasara za mirungi aka gomba
MADHARA YA KIAFYA;
1. Mtumiaji wa mirungi yupo
katika hatari ya kupata
vidonda vya tumbo.
- Kupungukiwa msukumo wa
kufanya tendo la ndoa...
Wakuu hapa nilipo nina wasiwasi sana sijui nimeoatwa na nini.
Ila kwa siku tatu nimekuwa nikienda chooni natoa kinyesi chenye damu.
Nilidhani labda tatizo litaisha ila leo siku ya tatu naona...
Mada pendwa kwa wanaume!
Hebu tujikumbushe yale yote tuliyowahi kusikia, kuona, kusoma au hata kuexperience kuwa yanachangia katika nguvu za kiume kuongezeka au kupungua. Nitataja randomly baadhi...
Habari wakuu
Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties
Nini cha kuongezea hapa...
Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.
Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
Tunaambiwa HIV ni virusi vidogo sana, hatuwezi kuviona kwa macho, je vikakusanywa vyote dunia nzima kwa kila vilipo, then vikafinyangwa pamoja, vikawa kama jabali? Tutaviona? Vinaweza vikawa na...
Habari wana-JF samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani je ni kawaida au ni shida?
Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu
Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha
Siku moja Nikapima na mimi
Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye...
Wasalaaam.
Mheshikiwa Raisi wa Tanzania, waziri wa afya, na mamlaka husika za afya naomba mpitie hii uzi
Leo kuna jamaa yangu kanionyesha bidhaa zake anazouza NeoLife. Ila nimegundua kuwa bidhaa...
Naam toa mti weka mti bila shaka huu mti unaitwa ndulelee au mtula tula ni mti mahalufu sana mti mdogo unamahajabu mwakubwa sana katk tiba za kiganga uwo tunaita mfichua au mwangaza ni atar sana...