Je, kufanya mapenzi na kukojoa nje kwa Wanaume hupunguza nguvu za Kiume?

Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
16,047
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
16,047 2,000
Salam!

Wataalam na Madokta wa jukwaa hili, kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni makosa kitaalam.

Inatakiwa unapofikia mshindo mwanaume unatakiwa umwage ndani ndiyo tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume halitakukabili pia anasema kukojoa nje na kupiga punyeto hakuna tofauti.

Anasema unamwaga nje kuna mishipa katika sehemu za siri za mwanaume lazima ziminywe na sehemu za siri za mwanamke ndiyo hutapungukiwa nguvu.

Tafadhali wajuzi naomba kueleweshwa kuna ukweli wowote hapo maana kuna wadau wanatumia njia hii kama ya kupanga uzazi.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,095
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,095 2,000
Salam! Wataalam na Madokta wa jukwaa hili,kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni makosa kitaalam. Inatakiwa unapofikia mshindo mwanaume unatakiwa umwage ndani ndiyo tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume halitakukabili pia anasema kukojoa nje na kupiga punyeto hakuna tofauti. Anasema unamwaga nje kuna mishipa ktk sehemu za siri za mwanaume lzm ziminywe na sehemu za siri za mwanamke ndiyo hutapungukiwa nguvu . Tafadhali wajuzi naomba kueleweshwa kuna ukweli wowote hapo maana kuna wadau wanatumia njia hii kama ya kupanga uzazi.
Mkuu Kennedy Kuna Raha gani kufanya tendo la mapenzi kisha

wakati wa kumwaga manii unatoa nje?Ni sawsawa na kulima shamba kubwa pasipo na kumwagilia maji? Je hilo shamba

kweli litaota matunda?Hapo penye

Maandishi ya Mekundu ninakujibu hivi kuna njia nyingi tu za kuzuia mimba sio hiyo ya kumwaga nje wakati wa kukojoa

shahawa mkuu. Kukojoa nje na kupiga Punyeto ni vitu 2 Tofauti kabisa kukojoa nje ni kama unajidhulumu wewe

mwenyewe raha zako nakupiga Punyeto mwisho wake utakuwa na upungufu wa Nguvu za kiume mwisho wa kupiga

Punyeto ni kumtafuta Mzizimkavu akupe dawa ya kuongeza Nguvu za kiume mkuu, achana na maneno ya mitaani hayo.

Ukitaka mpenzi wako asipate Mimba kuna njia bora ya kuzuia Mimba isiweze kuingia nayo ni kufuata Tarehe kukwepa

siku mbaya huo ndio ushauri wangu ngojea Wenzangu Wataalam zaidi yangu waje kukufahamisha zaidi asante.
 
Last edited by a moderator:
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,460
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,460 2,000
mmenikumbusha wakati wa ujana wangu nilikuwa na demu kilatukienda cheza mechi anataka nikojoe nje ili aone manii zinavyoruka, basi nikipiga nikifika point namwambia nakojoa mwenzangu ndo ananipiga pini na miguu kabisa sitoki wala nini na yeye hapo hapo anaunga, akimaliza anaanza kunilaumu kwa nini sijatoa akaona hahahaha ilikuwa kama kitendawili vile
 
Osaka

Osaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
1,763
Points
1,195
Osaka

Osaka

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
1,763 1,195
mmenikumbusha wakati wa ujana wangu nilikuwa na demu kilatukienda cheza mechi anataka nikojoe nje ili aone manii zinavyoruka, basi nikipiga nikifik point namwambia nakojoa mwenzangu ndo ananipiga pini na miguu kabsaa sitoki wala nini na yeye hapo hapo anaunga, akimaliza anaanza kunilaumu kwa nini sijatoa akaona hahahaha ilikuwa km kitendawili vile
Hata haueleweki mkuu!
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,460
Points
2,000
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,460 2,000
Hata haueleweki mkuu!
Osaka mbona rahisi tu yeye alitaka mie nichomoe nikojoe nje nikifika kileleni,lakni ikifika hiyo stage nikimwambia nakojoa ili nitoe kitu nje yeye ananibana na miguu yake kabsaa mgongoni nisichomoke wakati huo huo na yeye anapiga bao. akimaliza ananilaumu kwa nini sijatoa kitu nje akaona manii zinavyoruka
 
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,149
Points
1,250
Lukolo

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,149 1,250
Mkuu Kennedy Kuna Raha gani kufanya tendo la mapenzi kisha

wakati wa kumwaga manii unatoa nje?Ni sawsawa na kulima shamba kubwa pasipo na kumwagilia maji? Je hilo shamba

kweli litaota matunda?Hapo penye

Maandishi ya Mekundu ninakujibu hivi kuna njia nyingi tu za kuzuia mimba sio hiyo ya kumwaga nje wakati wa kukojoa

shahawa mkuu. Kukojoa nje na kupiga Punyeto ni vitu 2 Tofauti kabisa kukojoa nje ni kama unajidhulumu wewe

mwenyewe raha zako nakupiga Punyeto mwisho wake utakuwa na upungufu wa Nguvu za kiume mwisho wa kupiga

Punyeto ni kumtafuta Mzizimkavu akupe dawa ya kuongeza Nguvu za kiume mkuu, achana na maneno ya mitaani hayo.

Ukitaka mpenzi wako asipate Mimba kuna njia bora ya kuzuia Mimba isiweze kuingia nayo ni kufuata Tarehe kukwepa

siku mbaya huo ndio ushauri wangu ngojea Wenzangu Wataalam zaidi yangu waje kukufahamisha zaidi asante.
Mzizi mkavu umekimbia swali. Maana swali linauliza kama nguvu za kiume zinapungua kwa kutoa nje, wewe unasema raha haipo ukitoa nje. Sasa jibu la nguvu za kiume halijajibiwa.
Mimi binafasi naweza kusema withdrawal ni njia mojawapo inayoshauriwa kitaalamu kabisa ya kupanga njia za uzazi. Na hakuna popote inapoeleza kwamba kwa kufanya hivyo unapunguza nguvu za kiume. Na hata hiyo punyeto sidhani kama adhari zake zipo sawasawa kwa watu wote. Maana kuna wengine walianza huo mchezo tangu wapo primary na hadi leo wana miaka 50 bado wanaendelea nao na hizo nguvu hazikuwahi kupungua.
Madhara yatokanayo na ngono ni kama yale ya sigara. Wakati mwingine anakufa bado mdogo na tunaambiwa tatizo ni uvutaji wa sigara, maelfu kwa mamia wanaishi hadi wanazeeka wakiwa wanavuta sigara. Na hao wasiovuta wanakufa kabla yao. Kwa hiyo naweza kusema kinachokudhuru wewe si lazima sana kimdhuru na mwingine sawasawa. Kama kuchomoa ndiyo njia rahisi kwako kwa ajili ya kucontrol birth wewe endelea nayo tu. Kama ingekuwa ina madhara ya moja kwa moja kama unavyoambiwa basi isingeshauriwa kama njia ya kuzuia mimba.
 
Mkuu Lukolo Sijakimbia

swali mbona mengine nimemjibu ? mkuu kupiga punyeto kuna athiri sana nguvu zako za kiume ukisikia mtu anakuambia

alikuwa anapiga punyeto tangu yupo kijana mdogo na mpaka sasa anazo nguvu zake za kiume ujuwe huyo mtu

anakuongopea hasemi ukweli wa mambo.

Maneno yake huyo Mtu ni ya Uongo mtupu mimi ninapata kesi nyingi watu wananiletea za upungufu wa nguvu za

kiume kutokana na kupiga Punyeto.

Sasa kama wewe bado unapiga Punyeto ninakungojea wakati wa kuowa mke utakaposhindwa kumshughulikia Mke wako ndipo

utanitafuta nikupe Dawa za kurudisha nguvu zako za kiume. Maswali mengine ya kipuuzi huwa mimi kwangu siyajibu

ninayoyajibu maswali ya maana ili watu wengine wapate kupata faida mkuu samahani kuna thread nyingi humu ndani

kwangu huwa ninaziona ni za kipuuzi huwa sizijibu naangalia na kupita njia tu ninachojibu ujuwe kwa watu wengine

wanapata muangaza wa elimu yangu niliyokuwa nayo sio kila kitu nikijibu samahani mkuu.
 
MziziMkavu bado hujajibu swali la nguvu za kiume kupungua kutokana na kutoa nje. Binafsi sioni kama hilo swali ni la kipuuzi. Hiki ni kitu ambacho familia nyingi sana zinakifanya. Ni vema ukaisaidia jamii juu ya hilo. Kama kuna scientific proof kwamba nguvu za kiume zinapungua kutokana na kutoa nje basi tulijue hilo pia. Kuhusu hayo matatizo ya punyeto tutajadili wakati mwingine kwenye PM kwa sasa tusaidiane kuweka sawa hili ambalo limeletwa barazani.
 
Last edited by a moderator:
double click

double click

Senior Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
157
Points
195
double click

double click

Senior Member
Joined Oct 12, 2012
157 195
Mkuu Kennedy Kuna Raha gani kufanya tendo la mapenzi kisha

wakati wa kumwaga manii unatoa nje?Ni sawsawa na kulima shamba kubwa pasipo na kumwagilia maji? Je hilo shamba

kweli litaota matunda?Hapo penye

Maandishi ya Mekundu ninakujibu hivi kuna njia nyingi tu za kuzuia mimba sio hiyo ya kumwaga nje wakati wa kukojoa

shahawa mkuu. Kukojoa nje na kupiga Punyeto ni vitu 2 Tofauti kabisa kukojoa nje ni kama unajidhulumu wewe

mwenyewe raha zako nakupiga Punyeto mwisho wake utakuwa na upungufu wa Nguvu za kiume mwisho wa kupiga

Punyeto ni kumtafuta Mzizimkavu akupe dawa ya kuongeza Nguvu za kiume mkuu, achana na maneno ya mitaani hayo.

Ukitaka mpenzi wako asipate Mimba kuna njia bora ya kuzuia Mimba isiweze kuingia nayo ni kufuata Tarehe kukwepa

siku mbaya huo ndio ushauri wangu ngojea Wenzangu Wataalam zaidi yangu waje kukufahamisha zaidi asante.
Ebu samahan mkuu naomba unisaidie kwny tarehe apo namna ya kuzuia mimba?
 
Last edited by a moderator:
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
16,047
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
16,047 2,000
Wakuu shukrani kwa kuchangia japo najua kuna utata bado wa nguvu za kiume unapokojoa nje. Najua wataalam wengine nao watakuja kutujuza vizuri maana wengi twatumia style huenda kwa kutojua chochote.
 
private agent

private agent

Member
Joined
Apr 6, 2016
Messages
86
Points
125
private agent

private agent

Member
Joined Apr 6, 2016
86 125
Wakuu huwa najitahidi sana kuepuka mimba zisizotarajiwa, so huwa natumia njia ya asili na ya kawaida kabisa kukojoa nje ya papuchi.

Sasa je hii njia haiwezi kuniletea matatizo ya uzazi au matatizo mengine kama kipungukiwa na nguvu? maana ni muda mrefu sana naitumia.
 
S

Step by step

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Messages
1,031
Points
2,000
Age
84
S

Step by step

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2014
1,031 2,000
Una moyo sana kijana manake mimi naionaga ni kama kujichua flani hivi manake unapokaribia kumaliza lazima utachomoa na kuibooost kidogo kwa mkono kama unajichua ili goli litoke. Lazma kuna madhara
 
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
6,780
Points
2,000
mbere

mbere

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
6,780 2,000
Wakuu huwa najitahidi sana kuepuka mimba zisizotarajiwa, so huwa natumia njia ya asili na ya kawaida kabisa kukojoa nje ya papuchi.

Sasa je hii njia haiwezi kuniletea matatizo ya uzazi au matatizo mengine kama kipungukiwa na nguvu? maana ni muda mrefu sana naitumia.
Uko mbioni kupata ukimwi
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
15,493
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
15,493 2,000
mmmh wewe jasiri sana kijana wengine wakiingia tu ni kumwaga
utadhani ametumwa kuja kumwaga huko hata dakika moja hamalizi ...sijui watu wengine wapoje ningekupata ungenifaa sana
Mi pia ni mkufunzi wa hio shahada ya kunyunyuzia nje, waweza kuni p.m kwa msaada zaidi asee!
 
Forum statistics

Threads 1,295,973
Members 498,495
Posts 31,229,499
Top