Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Kuna ndugu mmoja (Askofu mstaafu wa K.K.K.T) au maarufu kama Doctor anakaa wilaya ya Loliondo mkoa wa Arusha anatibu magonjwa yote sugu kama Ukimwi, kisukari, magojwa ya moyo, mifupa, ini, figo...
0 Reactions
1K Replies
180K Views
Kama ni udongo Mungu kaumba basi mimi ni udongo wa mwisho kabisa tena mfinyanzi/ tifutifu. Niombe radhi kwa aina ya uandishi mbovu, nitakayoandika hapa maana ni matokeo ya anxiety. Mimi ni...
20 Reactions
205 Replies
30K Views
Je wajua? pamoja na kuwepo kwa madaktari wenye weredi katika dunia ya sasa ya kiteknolojia vifaa tiba vinaenda kuchukua nafasi kubwa katika upatikanaji wa tiba kwa karibia magonjwa yote! je...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Tezi dume si ugonjwa bali ni kiungo miongoni mwa viungo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume,ipo chini ya kibufo cha mkojo Ni wakati gani tezi hii huwa ni tatizo? Ni pale ambapo tezi dume inakuwa au...
2 Reactions
1 Replies
734 Views
Natumaini kwamba itakuwa ni siku njema kwenu zangu wakubwa kwa wadogo. Naomba kuwasilisha hoja yangu kwa maelezo yafuatayo: Nina dada yangu wa miaka 25 anasema kuwa huwa anapata maumivu ya tumbo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
UGONJWA WA HOMA YA INI Huu ugonjwa wa homa ya ini now unazidi kuongezeka na kwa taalifa ni kwamba ukiupata sio rahisi kujua kama unao huu ugonjwa. Maambukizi yake ni simple sana, yani mtu wa homa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu habari za muda huu? Hivi ni mimi tu au na nyie ndugu zangu kila nikipata demu lazima aniachie UTI, yaan imeshakuwa kero sasa dawa zenyewe zinadunda tu. Nitumie mbinu gani...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Ninachangamoto inanikabili kuhusu afya yangu, physically nipo sawa sina shida yoyote ila kuna hali ya wasiwasi wa hali ya juu hua inanijia na kuniambia ninaenda kupata ugonjwa...
0 Reactions
8 Replies
741 Views
👉 AFYA NI TUNU👈 ❗CHUKUA NA HII👇👇👇👇 🔞walau mara 2 kwa wiki uwe unafanya hako kamchezo hapo😀usikubali vitunguu na nyanya ziharibike hata siku 1❗ 🌹🌹Faida zake🌹🌹 🧅🧅🧅FAIDA ZA KITUNGUU MAJI🧅🧅🧅...
2 Reactions
4 Replies
841 Views
Utangulizi: Katika nakala hii, tutachunguza umuhimu wa afya ya figo na jinsi tabia fulani zinaweza kuleta tishio kwa figo zetu. Kwa kuelewa hatari zinazowezekana na kufuata tabia nzuri...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Kifua kikuu (kwa Kiingereza tuberculosis, kifupi TB) ni ugonjwa wa kuambukizwa ulio hatari. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti. Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Habari wana-JF. Obsessive compulsive disorder ni ugonjwa unaonisumbua kwa miaka mingi. Kama ilivyo kwa wengi ni ngumu kujijua kuwa wana matatizo ya akili. Niliishi miaka mingi nikijiona wa tofauti...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni mwezi wa nne sasa toka ajifungue baada ya kama wiki moja miguu ikaanza kumuuma, jitihada za kumpeleka hospital zikafanyika akapimwa nakuandikiwa dozi,katumia zaidi ya mara moja kapatiwa dawa...
1 Reactions
13 Replies
825 Views
Nahisi maumivu UPANDE wa KULIA wa KIFUA na mbavu kiujumla UPANDE wote wa kulia wa KIFUA ,mbavu na mgongo na KIFUA vinauma ila maumivu yapo sehemu ya nyumba ya ubavu na chini fua nikijaribu kuvuta...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Suala la kumkuta marehemu akiwa na atokwa na damu puani baada ya kulala mortuari kwa masaa 16 na je inakuaje mwili wa binadamu kukaa kwa masaa yote hayo bila ya kukakamaa yaani mwili unakuwa uso...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa...
4 Reactions
16 Replies
859 Views
Huenda ulipoamka asubuhi ulisafisha kunywa chako vyema kabisa. Mpaka kufikia nyakati za jioni, labda kwasababu ya vyakula mbalimbali ulivyokula hapo katikatika, je, unawezaje kujua kwamba sasa...
0 Reactions
6 Replies
816 Views
Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom