Msaada: Kucha kuota kwenda ndani kwenye kidole gumba cha mguuni

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
932
506
Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.

Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
 
First go to hosptal
Second iyo kucha yajuu neversytm zake zisha kufa so inatakiiwa iitolewe
 
Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.

Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?

pole ila waweza kwenda hospital ambapo kuna wataalam/specialist wa kucha ukafanye upasuaji. nimewahi kuwa na tatizo kama hilo na nilidhani ni bakteria walikuwa wakishambulia, lakini haikuwa hivyo na nilikaa muda mrefu sana hadi nilipoenda Bugando (baada ya mtu mmoja aliyekuwa akifanya kazi hapo kunieleza kuna specialist wa kucha pale) almost 7 years ago na ilikatwa upande ilikokuwa inaota kwenda ndani na nimepona kabisa. Mungu akusaidie ndugu.
 
Ahsante sana kwa ushauri, Mungu akubariki.
 
Pole sasa unachotakiwa kufanya ni kwenda kununua neil kata ile ambayo ime chongoka na kuanza kuitoa hiyo kucha iliyo zama pembeni. Hata ukienda hospitali watakutoa hiyo kucha but ukishapona itaota na itaingia tena kwenye nyama. Solution ni kutafuta ile neilkata ambayo imechongoka ambayo ni maalum kwa ajili ya watu wenye tatizo kama lako. Unatakiwa uwe unakata kucha kwa kutumia hiyo neilkata maalum ambayo inazama mpaka kwenye nyama na kukata kucha. Au nenda kwa wale wanao tengeneza kucha. Hata kama ni saloon yakike wewe zama wakate hiyo kucha. Ukienda hospitali watatoa kucha yote na utateseka ila ukipona na kucha ikiota tuu inazama tena kwenye nyama.
 
Na hilo ndio nilikua najiuliza hata nikitoa si bado itarudi vile vile baadae, ahsante kwa ushauri mkuu.
 
Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.

Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
Kaka Mambo vipi, vipi ulipataga dawa ya hii?? Maana inanisumbua pia
 
Back
Top Bottom