Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Mambo zaidi ya 10 anayopaswa kuepuka Mjamzito yoyote yule Unapogundua kuwa una mimba, unapaswa kuwa mwangalifu na kuepuka mambo mengi ambayo yanaweza kusababisha mimba kutoka, au tu yakakukudhuru...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Miezi 7- 9 ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote. Mpaka sasa tumbo limeshakuwa kubwa na umeshasikia mtoto akicheza tumboni. Ndani ya miezi 7-9 ya ujauzito mtoto...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Hiyo hali imeshakuwa kero sasa! Mara nyingi, nikishakula tu, najisikia uchovu kiasi cha kutamani kulala, hata kama ni Mchana. Haijalishi kama nimekula chakula kidogo tu, nitajisikia tu kulala...
1 Reactions
13 Replies
668 Views
Habari za wakati Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na...
15 Reactions
202 Replies
10K Views
Je, ukitolewa fibroids kuna uwezekano wa kurudia tena kuota au ndo umeshapona moja kwa moja?
1 Reactions
9 Replies
731 Views
Nimewahi kukutana na kuishi na watu wenye harufu kali, harufu ambayo hata nguo zao zikifuliwa kwa sabuni ya kipande inaendelea kubaki kwenye nguo zao, lakini leo nimepanda boda aisee, yule boda...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
JF Doctor, naomba unifafanulie ni jinsi gani chips inamwathiri mwanaume na madhara hayo ni yapi na solution yake ni ipi?
0 Reactions
110 Replies
48K Views
wakuu naombeni msaada dalili natiba ya tambazi
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Wana JF napenda kutoa ushuhuda, nimekua nikitumia dawa za nguvu za kiume kwa mwaka mmoja, saivi nina moezi miwili toka niache. Madhara niloyopata nahisi moyo kuuma, kichwa kinaumaa kila siku...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Ndugu wa humu ndani na watu wa jamvi hili, Mimi ni msichana ambae ni mweupe wa asili tangu kuzaliwa lakini kitu ambacho kinanikera ni kwamba nina weusi mkubwa katikati ya mapaja pamoja na mabaka...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
FIBROIDS NI NINI? Ni vimbe ambazo hutokea katika sehemu za uzazi wa mwanamke. Ni vimbe zinazotokea katika kizazi (uterus). Vimbe hizi hazimaanishi kuwa ni kansa. Zinatengenezwa na kambakamba...
1 Reactions
524 Replies
133K Views
Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hili hasa usiku nalazimika kuamka mara kwa mara kwenda nje kutema mate. Wadau tatizo hili linaondokaje.
0 Reactions
1 Replies
14K Views
STAFELI (SOURSOP) ni tunda lenye kupambana na kansa https://x.com/BarbaraOneillAU/status/1841569942144995516
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Mnyonyo ni mbegu zinazotokana na mti wa Mbarika. Sasa mwenye kujua zaidi atuhabarishe, manake hizi mbegu mi nasikia ni zaidi ya dawa!! Kwa niliyoyasikia hasa toka kwa wazee wa zamani ni haya...
4 Reactions
27 Replies
119K Views
Kichwa cha habari kimetosha,nahitaji maoni mhusika niko nae mbali kwahyo habari za clinic sizijui
3 Reactions
17 Replies
971 Views
Mama ni mtu mzima kidogo anaeleka miaka 65. Ana shida mishipa ya miguuni inauma sana na kutokezea kwa juu. Hospital kaenda kaaimbiwa ana shida ya mishipa kuvimba (varicose veins). Matibabu yake...
1 Reactions
19 Replies
929 Views
Msongo wa Mawazo (Stress) Ni hali ya shinikizo la kiakili au kihisia linalotokana na mahitaji yanayofikiriwa. Kila siku tunakabiliwa na hali nyingi ngumu ambazo unaweza kuona kama “vitisho” kwa...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
Maelezo ya picha, Maharage Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom