Vipele kwa watoto wachanga

Gambavid

Member
Apr 28, 2015
15
2
Habari wana-JF samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani je ni kawaida au ni shida?
 
Habari wana-JF...samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani...je ni kawaida au ni shida?

Ulijifungulia Hosptali gani? Tuanzie hapo Kwanza tafadhali.
 
Jina la Hospiatal laweza kusaidia kujua kutambua tatizo??

Kuna Hospitali zingine huwa ndiyo Kichocheo Kikubwa cha Magonjwa hasa kutokana na mazingira yake machafu au huduma zake mbovu na zisizo Rafiki. Ina maana Wewe huzijui Hospitali ambazo hata kama ukipita nje barabarani ukifika mwisho wa safari yako unaanza Kuugua / Kuumwa?
 
nenda kapate ushauri wa kitaalam ila kwa uzoefu naweza sema hivyo ni vile vya ngozi ya uchanga kuondoka.
 
Nenda hospitali ulikojifungulia ukiwa na kadi yako ya clinic kipindi mjamzito na ya mtoto, usisahau cheti cha faili lako la hospitali
 
Mara nyingi ni kawaida kwa watoto wachanga kwa ngozi ya uchanga kutoka au kujibadili bt nenda paediatric hospital
 
Kuna Hospitali zingine huwa ndiyo Kichocheo Kikubwa cha Magonjwa hasa kutokana na mazingira yake machafu au huduma zake mbovu na zisizo Rafiki. Ina maana Wewe huzijui Hospitali ambazo hata kama ukipita nje barabarani ukifika mwisho wa safari yako unaanza Kuugua / Kuumwa?
 
muogeshe na sabuni ya kipande !(mbuni) mwambie wife atengeneze mafuta ya nazi mwenyewe siku 3 nyingi atakuwa softy km mama samia suluhu !
 
Ha ha ha ha ha ha......asante sana mpendwa kwa ushauri mzuri ubarikiwe
umenichosha ulipocheka !huyo ni mtoto wa ngap? mara nyingi hua hatuosheo sabuni kali ka mtoto mchanga , ndo maana nikakuambia muogeshee mbuni (wamama wengi huitumia pale mwanzon had afike mwezi hiv unaeza hamia kwenye johson au dettol ya watoto ) na mafuta ndo atengeneze menyewe ya nyumbani !(menzangu ukacheka)
 
muogeshe na sabuni ya kipande !(mbuni) mwambie wife atengeneze mafuta ya nazi mwenyewe siku 3 nyingi atakuwa softy km mama samia suluhu !
Mbitiyaza umenisaidia pia Mimi mwanangu alikumbwa na hiyo hali but kwa sasa ana mwezi tangu ajifungue ila hata yeye nae alikumbwa na hilo tatizo pia lkn kuna sabuni Fulani za ukwaju ndo zimemsaidia.
 
Habari wana-JF...samahani napenda kuuliza nina mtoto mchanga mwenye umri wa wiki moja amepatwa na vipele vyenye ukubwa wa kadri lakini vinaonekana kuwa na vijiusaa kwa ndani...je ni kawaida au ni shida?
Wewe ni ME au KE?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom