Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini faida ya mirungi na hasara zake?

Discussion in 'JF Doctor' started by dibbo, Sep 21, 2011.

 1. dibbo

  dibbo Member

  #1
  Sep 21, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf naomba mnipe faida na hasara za mirungi aka gomba
   
 2. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #2
  Sep 22, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 718
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Faida:
  1. Hakuna.
  2. Ndoto za Al-nacha.

  Hasara:
  1. Kubwa.
  2. Kufilisika.
  3. Kupoteza muda.
   
 3. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,810
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  Hasara zake nikua ukishakula ulevi wake unakupa hisia kua wewe unamiliki magorofa yote pale Dar es Salaam! Hyo ni noooma mazee!
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Sep 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,539
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ina stem (ulevi fulani hivi) ambao unaupata kwa muda ila hasara ni nyingi zaidi...

  1. ule utomvu unaomeza unaenda kuganda kwenye utumbo (ndio maana huwa inatakiwa ukimaliza kula unywe maziwa fresh
  2.Ukienda haja kubwa inatanguliwa na ute unaoteleza kama kamasi......
  3.Inakufanya uridhike na maisha hata kama wewe ni masikini....
   
 5. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hupoteza hamu ya tendo la ndoa,hapo sijui kama ni faida ama hasara
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Sep 22, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,455
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Hasara mojawapo ni kupigwa mashine hadi unasahau kufuli gesti, nakumbuka kuna jamaa mmoja ni rafiki yangu alikula mirungi kwa bahati mbaya, yaani sian hamu.
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Sep 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mmmmm!!!
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 22, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,102
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kama haina madhara mbona inapigwa marufuku sehemu nyingi?
   
 9. m

  mwl JF-Expert Member

  #9
  Sep 22, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Hasara!~ Ufujaji wa pesa
  Madhara~ Kukosa hamu ya kula na tendo la ndoa, wendawazimu.
  Izara~ Kuota ndoto za alinacha.
  Ufukara~ Kufilisika.
  Himar~ Kuwa na akili mfano wa punda.
  Ufala~ Kuhangaika unapo pata arosto.
  Kali ni pale aakhir gaat unapohisi kuwashwa sehmu za haja kubwa, na hii hakuna mlaji atakae kiri.
   
 10. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfano mzuri nchi ya yemen.yemen ilikuwa nchi yenye wasomi hodari wa safari za meli wafanya biashara wazuri lkn tangu waanze kutumia mirungi miaka 300 iliyopita imeifanya nchi iwe katika hali ya sasa.
   
 11. B

  Bagenyi Member

  #11
  Sep 23, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmm! Mmenikumbusha huku Kondoa, warangi wanakula km mbuzi akulavyo majani. @ siku kesi polisi haziishi na ni kesi zinazoongoza
   
 12. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kama kweli unataka kujua madhara ya mirungi chukua kidogo niletee hapa Kituo cha Kilwa polisi maana ndo kuna mtambo ambao utatupa jibu la uhakika mi na weye au!?
   
 13. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  -Inaua nguvu za kiume
  -Inaondoa usingizi
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Kuna siku nilijaribu kula haya majani sina hamu yani sikulala nilikesha nakunywa maji lol
   
 15. C

  Chaka boy JF-Expert Member

  #15
  Mar 9, 2014
  Joined: Feb 13, 2014
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapa nilipo nagonga shamba rungu yani nifull handas, tatizo walio wengi wanasaga gomba bila ya kula,ukitaka usigonge mzigo kunywa chai navihandazi vyako alafu mchana usile alafu ugonge gomba, kuhusu tatizo kweny haja kubwa sina hakika ila nadhani litakua nikwawale wanao geuza gomba ndo msosi,kula chakula kwanza ushibe alafu saga gomba ila iwe shamba rungu,au ngarito utagonga mzigo upendavyo,
   
 16. v

  viso Member

  #16
  Mar 13, 2014
  Joined: Feb 3, 2014
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mirungi aina nyingi kuna rungu korombo chakasi miruingi yenyemadhala ni chakasi na mirungi inayo pandiwa mbolea. Madhara mengne sijaona zaidi yaufujaji wapesa na yenyewe ya tegemeana uliyo jcondition. Wewe mimi ni mwaka wa kumi nasaga gomba nanina to......mb demuwangu mpaka anajuta kuzaliwa
   
 17. 10000

  10000 JF-Expert Member

  #17
  May 6, 2015
  Joined: Oct 18, 2013
  Messages: 628
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 60
  MADHARA YA KIAFYA;

  1. Mtumiaji wa mirungi yupo
  katika hatari ya kupata
  vidonda vya tumbo.
  - Kupungukiwa msukumo wa
  kufanya tendo la ndoa (low sex drive) na pia kuwahi kumaliza haraka na kutoweza kudumu kwenye tendo la ndoa kwa muda mrefu.

  2. Ukosefu wa haja kubwa (constipation)

  3. Utumiaji wa muda mrefu
  husababisha ini kushindwa
  kufanya kazi, pia meno kubadilika rangi, kudhoofika, fizi kuuma na harufu mbaya
  mdomoni.

  4. Upungufu wa usingizi.

  5. Humpelekea mlaji
  kutawaliwa nayo. (addiction)

  6. Madhara ambayo bado
  kinamama walaji Mirungi
  hawajagundua ni kwamba
  mtoto anayezaliwa na mama
  mlaji Mirungi mara nyingi
  hukataa kunyonya titi la mama
  yake kwa sababu ladha ya
  maziwa inabadilika kwa ajili ya
  utumiaji wa madawa (pesticides) unaotumiwa na
  wakulima wa Mirungi kama
  inavyoeleza utafiti uliofanyika
  na Chuo Kikuu Cha Aden
  (Aden University).

  7. Utafiti mwengine kule
  Ethiopia unatueleza ya kuwa
  mtoto wa mama mwenye kula
  Mirungi kwa wingi huwa hana
  uzito wa kawaida wakati wa
  kuzaliwa.

  8. Ukosefu wa hamu ya kula
  chakula.

  9. Magonjwa ya vidonda vya tumbo (ulcers).

  10. Kupatwa na ugonjwa wa futuru/futuri/bawasiri/baasili - nyama inayoota kwenye utupu wa nyuma.

  11. Walaji wengi huvuta na sigara, hata yule aliyekuwa havuti kabla ya kuanza kula Mirungi, hujikuta akizama kwenye uvutaji, na madhara huwa maradufu.

  source;

  polisijamiimafia: MIRUNGI NA MADHARA YAKE
   
Loading...