International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri. Takwimu za...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Soko la bidhaa za Kitamaduni za Afrika "African Bazaar" lilifanyika hivi karibuni mjini Beijing China na kuwavutia wageni wengi.
1 Reactions
2 Replies
475 Views
Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3. Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu...
11 Reactions
76 Replies
5K Views
Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Wananchi walioko Crimea wameagizwa wachukue tahadhari ya mabomu, maana vita vitahamia huko muda usio mrefu na kutakua na umwagikaji wa damu balaa kwenye jitihada za kumfukuzia adui Urusi...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwasi Kwarteng, the frontrunner for Chancellor of the Exchequer, has pledged a "lean state" under the new Prime Minister, Liz Truss. The Foreign Secretary won the Conservative leadership race on...
0 Reactions
7 Replies
753 Views
Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya...
12 Reactions
68 Replies
6K Views
Kamishina wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia uchumi Paolo Gentiloni amesema muungano huo umejiandaa vyema endapo Urusi itasimamisha kabisa usambazaji wa gesi. Gentiloni amesema hawaogopi uamuzi...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Marekani kupitia the USA TODAY yalamamika kuwa Urusi ndio anamiliki silaha nyingi zaidi za nyuklia na ambazo zinaweza kutumia muda wa dakika 10 hadi 15 kufika Marekani na kuigeuza majivu nchi...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Cc: let the caged bird sings, Uturiki yaripoti kuwa viwanda mbalimbali nchini Netherlands vinafungwa kwa 'fujo' (wingi) kutokana na bei ya nishati kuongezeka zaidi. Hiyo ni kutokana na Urusi...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Ufilipino imesema kwamba iwapo mgogoro wa Taiwan utaibuka kua Vita kamili bhasi watairuhusu Marekani kutumia kambi zao za jeshi kujibu mashambulizi yote ya Uchina,hayo yamesemwa na balozi wa...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Unapozungumzia Teknolojia, Kisiasa na kimifumo ya Maisha Duniani na Uvumbuzi nadhani Wayahudi wanabaki kuwa watu wenye akili Duniani na kuheshimika Tunaona leo mtu aliekuwa na damu ya kiyahudi...
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Maonyesho ya Kimataifa ya mwaka 2022 ya Biashara ya Huduma ya China yamefungwa hivi karibuni hapa Beijing. Ikiwa ni moja ya majukwaa matatu makuu ya China kufungua mlango, maonesho hayo yanaonesha...
1 Reactions
1 Replies
571 Views
Zifuatazo ni kauli za Joe Biden na viongozi wengine baada ya kuona mzozo wa Ukraine na Urusi ni kina kirefu kwa Marekani kuvuka. 1-Marekani haitapeleka majeshi Ukraine! 2-Raia wa Marekani...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
Urusi imeionya nchi ya Moldova kuwa isitishie/isihatarishe usalama wa vikosi vya majeshi ya Urusi vilivyopo kwenye mkoa uliojitenga toka Moldova wa Transdniestria. Onyo hilo limetolewa na waziri...
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Supa pawa Marekani kaanza kuondoa majeshi yake huko Syria,sijui kwa nini waliyapeleka majeshi hayo yanayoogopeka dunia nzima huko Syria,na sijui kama malengo ya Marekani yametimia,maana mpaka...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Cc: let the caged bird sings, Takriban watu 70,000 wameandamana leo ktk jiji la Prague, mji mkuu wa Czech, wakiitaka serikali yao kfanya juhudi zaidi kutatua changamoto ya bei ya nishati za...
13 Reactions
39 Replies
3K Views
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa magnitude 6.8 limetokea katika Jimbo la Sichuan, China na kuua watu 46. Baadhi ya barabara, nyumba na miundombinu ya mawasilian iimeharibika. Eneo hilo limekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom