Ufilipino yasema kama China itaivamia Taiwan, basi ruksa kwa Marekani kufanya Mashambulizi kutokea nchini mwao

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
4,169
9,498
Ufilipino imesema kwamba iwapo mgogoro wa Taiwan utaibuka kua Vita kamili bhasi watairuhusu Marekani kutumia kambi zao za jeshi kujibu mashambulizi yote ya Uchina,hayo yamesemwa na balozi wa Ufilipino nchini Marekani.

Balozi huyo pia ameongeza kwamba Ufilipino ipo kwenye mazungumzo na Marekani ili kuongeza kambi za jeshi zitakazotumiwa na vikosi vya Marekani kwenye nchi hiyo.

Amid the Taiwan-China crisis, the Philippines has stated that it would allow the US forces to use its military bases in the event of a Taiwan conflict

The statement was made by Jose Manuel Romualdez, Philippines' ambassador to the US with the caveat "if it is important for us, for our own security,". It is pertinent to note that Romualdez is a relative of President Ferdinand Marcos Jr. and wields considerable influence in the power corridors of Manila.

His statement indicates the position Manila is taking despite assuming a relative neutral stance on the Taiwan issue. "Nobody wants to have any kind of war or confrontation. We want to ask both countries to lessen the tension by having more dialogue and then trying to resolve all of these issues because it's in our part of the world," added Romualdez.

The envoy also added that Manila is in talks with Washington to increase the number of military bases that US forces can use in Philippine territory.

"Our military and the military of the United States are all looking into what are the possible areas,"

Romualdez's statement comes in the backdrop of the Biden administration announcing a more than $1 billion arms sale to Taiwan, much to the chagrin of China. Moreover, last week, two American warships had sailed through the Taiwan.

WION

US may use our military bases in case of a Taiwan conflict, says Philippine ambassador to the US
 
Ila China amezungukwa na maadui Pande zote nne kuanzia Taiwan, Japan,south Korea, Philippines na India...
Uzuri ni kuwa China huwa hawendi vita vya kishamba kama Russia
China ana ugomvi na kila jirani sababu ni expansionism. Kila bahari anataka iwe yake, anataka awe na maji mengi aikaribie Philippines asogee mpaka India uko. Kwenye mipaka ya ardhi anagombana na India eneo la Ladakh. Hadi Australia anafika uko anataka eneo la bahari.

China na Russia tofauti yao ndogo, wote walipata nchi kubwa kwa kutekateka maeneo kila kona hivyo wana mazoea hayo. Wawili hawa wenyewe kuna muda wanaweza bishania Vladivostok ambayo Russia iliiba kutoka kwa Qing dynasty
 
China ana ugomvi na kila jirani sababu ni expansionism. Kila bahari anataka iwe yake, anataka awe na maji mengi aikaeibie Philippines asogee mpaka India uko. Kwenye mipaka ya ardhi anagombana na India eneo la Ladakh. Hadi Australia anafika uko anataka eneo la bahari.

China na Russia tofauti yao ndogo, wote walipata nchi kubwa kwa kutekateka maeneo kila kona hivyo wana mazoea hayo. Wawili hawa wenyewe kuna muda wanaweza bishania Vladivostok ambayo Russia iliiba kutoka kwa Qing dynasty
Kumbe hujui chochote
 
Marekani anawapa nini haya mataifa? Mbona watu wanaipenda hivi?

Kweli hapa duniani mbabe ni US pekee.
China ni muonevu ndo maana hayo mataifa yanakimbilia kwa Marekani kujiokoa. Imagine China anasema 90% ya South China sea ni yake,ana mgogoro na nchi zaidi ya sita kama sikosei.

Walikua wanapeleka mameli makubwa kwenye maji ya Bahari ya Ufilipino wanavua kinguvu,sasa Mtu Kama huyo kukaa bila uhakika ya Ulinzi ni hatari Sana.
 
Ufilipino imesema kwamba iwapo mgogoro wa Taiwan utaibuka kua Vita kamili bhasi watairuhusu Marekani kutumia kambi zao za jeshi kujibu mashambulizi yote ya Uchina,hayo yamesemwa na balozi wa Ufilipino nchini Marekani.

Balozi huyo pia ameongeza kwamba Ufilipino ipo kwenye mazungumzo na Marekani ili kuongeza kambi za jeshi zitakazotumiwa na vikosi vya Marekani kwenye nchi hiyo.

Amid the Taiwan-China crisis, the Philippines has stated that it would allow the US forces to use its military bases in the event of a Taiwan conflict

The statement was made by Jose Manuel Romualdez, Philippines' ambassador to the US with the caveat "if it is important for us, for our own security,". It is pertinent to note that Romualdez is a relative of President Ferdinand Marcos Jr. and wields considerable influence in the power corridors of Manila.

His statement indicates the position Manila is taking despite assuming a relative neutral stance on the Taiwan issue. "Nobody wants to have any kind of war or confrontation. We want to ask both countries to lessen the tension by having more dialogue and then trying to resolve all of these issues because it's in our part of the world," added Romualdez.

The envoy also added that Manila is in talks with Washington to increase the number of military bases that US forces can use in Philippine territory.

"Our military and the military of the United States are all looking into what are the possible areas,"

Romualdez's statement comes in the backdrop of the Biden administration announcing a more than $1 billion arms sale to Taiwan, much to the chagrin of China. Moreover, last week, two American warships had sailed through the Taiwan.

WION

US may use our military bases in case of a Taiwan conflict, says Philippine ambassador to the US
U.S.A hatoweza kufanya direct war na PRC.
 
Back
Top Bottom