International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Serikali ya Marekani imekubali kupunguza kifungo cha “tapeli wa mitandaoni” Hush Puppi hadi miaka 11 kwa kuwasaidia wapelelezi kutatua kesi nyingine. ⠀ Hush Puppi maarufu raia wa Nigeria...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Hii ni code name inayosimama kwa ajili ya utaratibu mzima wa hatua kwa hatua ya kile kitakachotokea baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II. Mpango mkakati huu ulitengenezwa kwa mara ya kwanza mwaka...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni kuanzia tarehe 31 mwezi ujao wa Oktoba na sababu kubwa ni thamani ya euro kuendelea kuporomoka jambo ambalo linawapa wasiwasi. Baadhi ya wateja wa PayPal huko Ulaya wameanza kujulishwa kupitia...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Anasema mto umefurika miili ya wanajeshi wa Urusi, alikua anaongea na mkewe kwa simu, anatukana balaa na kulaani... "F***ing HIMARS s**t. They are long-range and our tank was hit too....," the...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu jamaa sasa hivi akapimwe maana anakoelekea ni kituko, si alidai hatorudisha gesi hadi waondolewe vikwazo vyote. Now kikwazo ni turbine. Putin says Russia will restart Nord Stream 1 gas...
5 Reactions
129 Replies
9K Views
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]]...
0 Reactions
5 Replies
880 Views
Leo ni sherehe za uhuru nchini India toka walipopata uhuru kutoka kwa Muingereza mwaka 1946. Kwa miaka 75 India imejenga uchumi unaokua haraka zaidi huku ikiwa imebeba miongoni mwa watu matajiri...
2 Reactions
2 Replies
835 Views
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe. Katika maagizo...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Ukraine imekiri rasmi kwamba ilifanya shambulizi la Makombora na maroketi kwenye kambi ya jeshi la Urusi Crimea baada ya wiki kadhaa kukana kutohusika na shambulizi hilo. Mkuu wa jeshi la Ukraine...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu nimeona nifungue uzi huu kwa lengo la kujadili kwa mapana haya yanayoendelea nchi ni Burundi baada ya Ijumaa ya wiki jana Rais wa nchi hiyo kutamka hadharani kuwa kuna...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Tayari ni MFALME CHARLES Kuzaliwa: 1948
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Moscow has accused the “liberal-totalitarian West” of seeking to impose a neo-colonial world order on the World Chairman of the Russian Historical Society, Director of the Foreign Intelligence...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Sifurahii Anguko la Urusi (ingawa Pro Russia wengi wanasababisha masuala yaende kishabiki). Urusi mwenye nguvu Dunia nzima tunamuhitaji na Muda unavyozidi kuyoyoma China atabaki njia Panda sababu...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari (SCMR) pia limeagiza kampuni hizo za utiririshaji kuondoa maudhui yote yasiyoendana na watoto pamoja na yanayokinzana na maadili ya Kiislamu Taarifa ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Thursday, September 08, 2022 By far the cheapest and most optimal type of energy for stovetop cooking, natural gas is the latest target of the global warming cult, which wants it banned from all...
2 Reactions
0 Replies
639 Views
Na Fadhili Mpunji Hivi karibuni mkutano wa uratibu wa utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa kati ya China na Afrika kwenye mkutano wa 8 wa mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Huyu alikua anasimamia mji wa Berdyansk mpaka sasa haijaeleweka nani kamfanyizia, aidha itakua wanajeshi wa Urusi au makundi yanayounga mkono Ukraine. Kalipukiwa na bomu lililotegeshewa kwenye...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mamlaka za Forodha Nigeria imekamata viungo vya uzazi vya Punda wa kiume 7,000 vilivyokuwa Uwanja wa Ndeger kwa ajili ya kusafirishwa kuelekea Hong Kong. Viungo hivyo vilikuwa katika magunia 16...
0 Reactions
5 Replies
857 Views
Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Taarifa hiyo imetolewa na Kasri la Buckingham Imeelezwa, Mwanamfalme Philip (Duke of Edinburgh)...
14 Reactions
151 Replies
18K Views
AJABU YA UTEUZI WA WAZIRI MKUU UINGEREZA 🇬🇧 Na JumaKilumbi, 05.09.2022 Uingereza ni nchi ya kidemokrasia, Demokrasia iliyokomaa hasa, ila ina Malkia mwenye mamlaka ambayo huizidi katiba kwa...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom