International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wamehamisha magoli sasa hivi wanadai wameondoka kharkiv kwa mda tuu ila watarudi,Kauli hii imetolewa na msemaji wa jeshi la Russia. Kwa watu wazima mnajua nini kinaendelea. Mwanaume kashikwa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle wanataka kujiondoa katika majukumu ya familia ya kifalme. Aidha, Prince Harry na Meghan Markle wanasema kuwa baada ya kujitafakari na...
11 Reactions
369 Replies
47K Views
CNN — Several elected officials in Russia have been summoned by police after they called for the impeachment of Russian President Vladimir Putin. In a rare display of dissent in the country...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Russian wenyewe hawajasema chochote ila pro Russia wa mitandaon wameshatoa majibu yao Kremlin refuses to comment on counteroffensive of Armed Forces of Ukraine Ukrainska Pravda Fri, September 9...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Ukraine wameukomboa mji mzima ambao Ni wa pili kwa ukubwa Nchini Humo wa Kharkiv baada ya Wanajeshi wa urusi kuukimbia mji huo. Vijiji vingi hasa mashamba yamejaa miili ya Raia na...
21 Reactions
162 Replies
14K Views
Putin cha moto atakiona . Unapoenda vitani na Nchi nyingine ambayo hujui chocho lazima wakupige , wakufuruge tuu
1 Reactions
7 Replies
706 Views
Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work. Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
RUSSIA anapewa kifurushi kinacho itwa HALICHACHI bando. au yakwako tuu bandle. ukraine hawana mda wa kupoteza. wakikomboa kijiji wanawaachia Germany [emoji629] kazi ya kutegua mabom ya ardhin...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Ina mapigo kama ya HIMARS ila mizinga yake haikosei shaba..... America has sent Ukraine its "most accurate artillery shell", a high-precision GPS-guided munition called Excalibur, Pentagon budget...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa biashara wa Urusi asema iPhone 14 zitapatikana nchini humo Licha ya kampuni ya Apple kusitisha uuzwaji wa bidhaa zake kwenye nchi hiyo. Waziri huyo asema wafanyabiashara wataruhusiwa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
TOKYO -- An estimated 300,000 barrels of Russian petroleum made their way to the U.K. in June despite government claims of zero oil imports from Russia that month, Nikkei research suggests. Being...
2 Reactions
3 Replies
847 Views
Kwenye juhudi za kuokoa miji yao, Ukraine wameishia kuzingira wanajeshi 10,000 wa Urusi. ======== Two days after punching through Russian defenses outside the city of Kharkiv, Ukrainian forces...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Kutoka kutekwa nyara hadi talaka na shutuma za ubaguzi wa rangi, familia ya kifalme imekuwa mgeni kwa kashfa kwa miongo kadhaa. Malkia Elizabeth II anasifiwa kwa kiasi kikubwa kustahimili dhoruba...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya kikatiba ya Angola imekataa madai ya Chama cha Upinzani cha #UNITA ya kutaka kubatilisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu ww Agosti 24, 2022 kutokana na madai ya Uchaguzi huo kuwa batili...
1 Reactions
1 Replies
708 Views
Vikosi vya jeshi la Ukraine vimepata mafanikio kwenye uwanja wa vita baada ya kuyakomboa maeneo kadhaa yaliyokuwa chini ya udhibiti wa Urusi kwenye mkoa wa mashariki mwa nchi hiyo wa Kharkiv...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
“UHUSIANO WENYE PANDE MBILI ZA SARAFU” 10/09/2022 Ukiniuliza kuhusu uhuisano wa Malkia Elizabeth wa Pili na Afrika basi nitakujibu kuwa ni uhusiano wenye pande mbili za sarafu, kwa upande wa...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Moto unaowaka Kherson siyo mdogo, yaan sijui watu wanapataje data za waliokufa ,na vifaa vilivyoaribika. Mahojiano yalifanywa kwa wanajeshi 7 wa Ukraine ambao walipata majeraha na wako katika...
14 Reactions
59 Replies
6K Views
Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni dhahiri kachezea kichapo, ngumi za kwenye uso, ila alipohojiwa nani kampiga akagoma kutoa jibu. Kwa hasira alizo nazo Putin sasa hivi inabidi kukaa mbali naye, hata kama una urafiki naye wa...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom