Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle kujiondoa katika familia ya Kifalme (Royal Family)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,353
Mwanamfalme wa Uingereza Prince Harry na mkewe Meghan Markle wanataka kujiondoa katika majukumu ya familia ya kifalme.

Aidha, Prince Harry na Meghan Markle wanasema kuwa baada ya kujitafakari na kujadili kwa muda mrefu wameamua kufanya mabadiliko mwaka huu kwa kujionda katika majukumu ya juu ya familia hii na kuangalia majukumu mapya.

Waliongeza kuwa, wamekusudia kujitoa kama wanachama wakubwa wa familia ya kifalme na kufanya kazi nyingine za kujiingizia kipato na kujikuza kiuchumi huku wakiendelea kuunga mkono juhudi zote za Malkia Elizabeth.

2848.jpg

Zaidi Soma:
The Duke and Duchess of Sussex have said in a statement they “intend to step back as ‘senior’ members of the royal family and work to become financially independent”.

The official statement from Prince Harry and Meghan said: “After many months of reflection and internal discussions, we have chosen to make a transition this year in starting to carve out a progressive new role within this institution.

“We intend to step back as ‘senior’ members of the royal family and work to become financially independent, while continuing to fully support Her Majesty the Queen.

“It is with your encouragement, particularly over the last few years, that we feel prepared to make this adjustment.

“We now plan to balance our time between the United Kingdom and North America, continuing to honour our duty to the Queen, the Commonwealth, and our patronages.

“This geographic balance will enable us to raise our son with an appreciation for the royal tradition into which he was born, while also providing our family with the space to focus on the next chapter, including the launch of our new charitable entity.

“We look forward to sharing the full details of this exciting next step in due course, as we continue to collaborate with Her Majesty The Queen, the Prince of Wales, the Duke of Cambridge and all relevant parties. Until then, please accept our deepest thanks for your continued support.”

The couple have appeared increasingly unhappy in recent months with their public roles and the level of scrutiny they have faced.

In October, Meghan began legal proceedings against the Mail on Sunday after the paper published a handwritten letter she had sent to her estranged father. The action was launched alongside a scathing statement from Prince Harry denouncing the media’s “bullying” of his wife; behaviour he likened to the treatment of his mother, Princess Diana.

He said he could no longer be a “silent witness” to Meghan’s “private suffering”, adding that his “deepest fear is history repeating itself”. He wrote: “There comes a point when the only thing to do is to stand up to this behaviour, because it destroys people and destroys lives. Put simply, it is bullying, which scares and silences people. We all know this isn’t acceptable, at any level. We won’t and can’t believe in a world where there is no accountability for this.

“I lost my mother and now I watch my wife falling victim to the same powerful forces.”

The royal family has been slimmed down over the course of the last few years, with greater focus being placed on those most senior in the line of succession.

During the Queen’s diamond jubilee celebrations in 2012, only a core group of family members was invited to accompany the monarch and her husband on her royal barge. They included Prince Charles and his wife, Camilla, as well as his two children and their spouses.

Other relatives – including Charles’s brother the Duke of York and his daughters, Princesses Beatrice and Eugenie – were placed on a separate vessel. Last year, Prince Andrew stepped back from public duties, having been forced to deny a series of allegations about his sexual conduct.

The Duke of Edinburgh decided to retire from public duties in 2017.

Source: Prince Harry and Meghan to step back from royal family
 
Huyu mwanamke anampelekesha huyu jamaa na kuna uwezekano ndoa yao ikaota mabawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hampelekeshi, kwenye ufalme Harry yeye yupo nyuma sana hata kwa kitoto cha mwisho cha William, watoto waliokuja juzi juzi duniani leo ndio wenye haki kuliko yeye. Na kaka 'ake wanaweza kutotoa vingine maana Kate mwili wake uko poa, hivyo kuzidi kusahaulika.

Kwa maamuzi haya (ya kidijitali), Harry ataweza kujijengea jina lake (legacy) kama yeye na familia yake kwa foundation waliyoianzisha.

Pia wamejiondoa kwa heshima kuliko kufurumushwa kama baba yake mdogo alivyofanyiwa.Meghan pia atakuwa huru kuwa kwenye 'spot light' kama alivyozoea wakati akiwa anacheza sinema.

Magazeti ya udaku ya Ulaya hayampendi Meghan, hivyo watazidi kumchamba kadri siku zinavyokwenda wakati yale ya Marekani yanawapenda sana Harry na Megan.

Ni jambo la busara wao kujiongeza...
 
Hampelekeshi, kwenye ufalme Harry yeye yupo nyuma sana hata kwa kitoto cha mwisho cha William, watoto waliokuja juzi juzi duniani leo ndio. Na kaka 'ake wanaweza kutotoa vingine maana Kate mwili wake uko poa, hivyo kuzidi kusahaulika.

Kwa maamuzi haya (ya kidijitali), Harry ataweza kujijengea jina lake (legacy) kama yeye na familia yake kwa foundation waliyoianzisha.

Pia wamewjiondoa kwa heshima kuliko kufurumushwa kama baba yake mdogo alivyofanyiwa.Megan pia atakuwa huru kuwa kwenye 'spot light' kama alivyozoea wakaiti akiwa anacheza sinema.

Magazeti ya udaku ya Ulaya hayampendi Megan, hivyo watazidi kumchamba kadri siku zinavyokwenda wakati yale ya Marekani yanawapenda sana Harry na Megan.

Ni jambo la busara wao kujiongeza...
... uko sahihi! Prince Harry is 6th in line to the throne na hapo, kama ulivyoeleza, ni endapo William hatoongeza mtoto which means atazidi kutupwa pembezoni kabisa huko. Kutegemea angalau watu watano wenye sifa wafe ndipo wewe uchukue nafasi ni zaidi ya ukichaa. Ingekuwa Afrika huku ni rahisi kuloga ukawamaliza wote lakini sio Ulaya. Wameamua kujiongeza.

===== UPDATES - 16/01/2020 =====
Mkewe Prince William hatimaye amethibitisha William hataki watoto zaidi.

Kate Middleton Says Prince William Doesn't Want Any More Children

Source: Kate Middleton Says Prince William Doesn't Want Any More Children
 
Okay
Mbona mimi hakuna sehemu nimemtaja Davinci kwenye comment yangu.. au unadhani nayumbishwa ba zile misinterpretation za picha ya the Last supper?
Nikupe Hint.
Da’Vinci hata hakuweka mafumbo kwenye ile Michoro yake..ila watu wajanja ndio wamesema hvo ili waipe thamani ile michoro wapige hela.
Ile ji mbinu ya biashara kiongozi...Hakuna mafumbo.
Kijana wetu mpendwa kuna asilimia nyingi atakua ali mess up na kimwali mage...
Hebu soma injili ya ya Magdalena
y
 
Hampelekeshi, kwenye ufalme Harry yeye yupo nyuma sana hata kwa kitoto cha mwisho cha William, watoto waliokuja juzi juzi duniani leo ndio wenye haki kuliko yeye. Na kaka 'ake wanaweza kutotoa vingine maana Kate mwili wake uko poa, hivyo kuzidi kusahaulika.

Kwa maamuzi haya (ya kidijitali), Harry ataweza kujijengea jina lake (legacy) kama yeye na familia yake kwa foundation waliyoianzisha.

Pia wamejiondoa kwa heshima kuliko kufurumushwa kama baba yake mdogo alivyofanyiwa.Megan pia atakuwa huru kuwa kwenye 'spot light' kama alivyozoea wakati akiwa anacheza sinema.

Magazeti ya udaku ya Ulaya hayampendi Megan, hivyo watazidi kumchamba kadri siku zinavyokwenda wakati yale ya Marekani yanawapenda sana Harry na Megan.

Ni jambo la busara wao kujiongeza...

Hivi Harry ni wa kwanza kuwa kwenye situation kama hii? (Ya kuwa ndugu yako mkubwa ndiye atainherit the throne) maana kila mtu “Harry will never be King” “Harry kazidiwa na watoto wa William” kwani mbona wakina Anne, Edward na Andrew hao hapo ndugu yao Charles anatazamiwa kumrithi Elizabeth na hawajawa vichaa, hawajajitoa royal family wala nini na maisha yanasonga tu.

Kwangu hii ni sababu weak. Tukubali tu kuwa Harry ni binadamu ana ambitions zake ana maamuzi yake ambayo si lazima yawe influenced na Kaka yake ana nini au atapata nini.
 
Finally, Somebody is moving out of Grandma's house. He's the realest amongst the royal family, huwa jamaa anapenda sana kujichanganya na kuishi maisha ya kawaida nilihisi kuna siku atajitoa ktk hii familia abaki na jina tu bila kuwa na day to day royal duties hata kama asingemuoa huyu mke wake.
 
... uko sahihi! Prince Harry is 6th in line to the throne na hapo, kama ulivyoeleza, ni endapo William hatoongeza mtoto which means atazidi kutupwa pembezoni kabisa huko. Kutegemea angalau watu watano wenye sifa wafe ndipo wewe uchukue nafasi ni zaidi ya ukichaa. Ingekuwa Afrika huku ni rahisi kuloga ukawamaliza wote lakini sio Ulaya. Wameamua kujiongeza.
Hapo kwenye kuloga Hahahaaaa
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom