International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

A new Gazprom plant is shipping its first liquefied natural gas cargo to Greece just 6 months after the EU vowed to drastically reduce Russian gas imports Following Russia's invasion of Ukraine...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo...
0 Reactions
2 Replies
728 Views
Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao. Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki...
9 Reactions
21 Replies
2K Views
Msafara wa uliobeba mwili wa hayati malkia Elizabeth unaongozwa na piki piki moja tu na una magari sita tu nimehesabu Kwanini hawa jamaa hawana uwezo wa kuwa na misafara yenye magari 200 kama...
13 Reactions
157 Replies
9K Views
Wadau, Acha kabisa. Siasa za kimataifa hazina rafiki wa kudumu. Nilikua nasoma mahali. Kumbe wajerumani walikua wanaiteka USSR. Kama kawaida mbabe USA akampatia support ya siraha kali...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndicho nachokiona, Marekani anatumia misaada kidogo kidogo lengo ni Ukraine asishinde wala asipigwe, yani vita iwe neutral wawe wanatwangana na mrusi, Nipe nikupe, Marekani akiona Ukraine...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Mzuka Wanajamvi! Waziri wa mambo ya nje Urusi Sergey Lavrov amesema Urusi haipingi Wala kukataa kukaa chini kwenye meza ya mazungumzo Negotiation table na Ukraine. Ameendelea kutahadharisha...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
Hali imekua sio, hawaoni umuhimu wa kufia kwenye nchi ya watu..... Russian troops are reportedly abandoning their positions in Kharkiv amid reports of a Ukrainian counteroffensive in the...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky amesema kuwa mzozo kati ya nchi yake na Urusi hautamalizika hadi pale rasi ya Crimea katika Bahari Nyeusi, ambayo ilikwapuliwa na Moscow, itakapokombolewa...
16 Reactions
99 Replies
7K Views
Kwa siku chache ambapo Ukraine wametiririka kama waliopagawa, wamefaulu kuteka vifaru 1,200 vya Urusi, hiyo ni pamoja na zana zingine ikiwemo magari ya kivita. Warusi wanatoka nduki na kuviacha...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Kwa uzamini wa Cigarette [emoji377] rocket system UCHAMBUZI: Je, mashambulizi ya hivi karibuni ya miundo mbinu ya reli, vituo vya kijeshi na vifaa vya mawasiliano vya Urusi, ni maandalizi? Ben...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
The Decline And Fall Of The Western Empire Almost everyone sees it, and almost no one wants to discuss it: America and Western Europe are spiraling out of control. And the speed of the descent is...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Siku chache zilizopita katika mkutano wa kiuchumi wa nchi za mashariki, yaani Eastern Economic Forum(EEF) ambao mwenyeji wake alikuwa Urusi. Rais Putin aliyatuhumu matifa ya Ulaya ikiwemo na...
1 Reactions
6 Replies
748 Views
Succession ya ufalme Uingreza inakuwaje? Charles ndiye anakuwa King, why Charles and not any other member from the royal family? Malkia na King wanakupatikanaje?
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Jeshi la Ukraine limetengeneza Silaha ya Kielectronic ambayo inatumia mawimbi ya Radio (Radio waves) kuishusha Drone ya adui bila kuishambulia kabisa. Muongozaji wa Drone hiyo hukosa Signal ya...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Vilio hivyo vilisikika huko Kusini mwa Ukraine wanapopatiwa matibabu na kuungwa viungo vyao na...
11 Reactions
145 Replies
9K Views
Hili ni swali najiuliza. Diplomasia na mahusiano ya miaka mingi yataweza kupotezwa kwasababu ya ugomvi kule Ukraine? Pengine muda utatupatia majibu.
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwaka 2014 Russia iliitwaa Crimea kutoka Ukraine , Waukeain wakapotezea . Baada ya SHETANI Putin kunogewa na kujiona mbabe akawa anaiwazia kuichukua mazima Ukraine Yote , kumbe mipango Yote...
19 Reactions
32 Replies
3K Views
Back
Top Bottom