Putin amewaonya West kuwa Russia inayo silaha zakutosha na kuifyeka NATO
========
Russian President Vladimir Putin has announced that 300,000 reservists will be drafted into the army in a...
Kwakuwa tunapeana updates za vita basi salamu baadae.
Katika kuonesha kuwa sasa hawatanii Urusi imeamua kumuita Jenerali Mstaafu Pavel ambaye alipigana Afgan war kwenda kuongoza kundi la elites...
Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2...
Wengi hawafahamu hilo, wanafikiri ni Muingereza, lkn ukweli ni kwamba Malkia Elisabeth ni Mjerumani na walibadilisha jina lao baada ya Vita Kuu ya Dunia na kujiita Windsor, original waliitwa...
Russian President Vladimir Putin threatens the West on Wednesday, noting that “we have lots of weapons to reply, it is not a bluff.”
2/Masaa 72 nitakuwa nimeichukua Ukraine Yote na kumweka mamluki...
Raia wa Japan amelazwa hospitali baada ya kujijeruhi kwa kuchoma moto akipinga kitendo cha Serikali ya Nchi hiyo kutumia gharama kubwa kuandaa mazishi ya Waziri Mkuu wa zamani Shinzo Abe aliyeuawa...
Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational...
Ripoti ya Umoja wa Mataifa imemtaja Rais Nicolás Maduro kuhusika na kuagiza vyombo vya usalama kutekeleza unyanyasaji dhidi ya wakosoaji kwa lengo la kufuta kabisa upinzani nchini humo.
Maduro...
Wakuu mtakumbuka kuna tetesi na longolongo nyingi zilihusishwa na kifo cha Princess Diana kwamba kilipangwa, na sababu ni kwamba Princess Diana Mke wa Prince Charles alikuwa na uhusiano wa...
Nchi ya Japan itatumia zaidi ya dola za Kimarekani milioni 1.83 kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Shinzo Abe baadae septemba 27 mwaka huu.
Uratibu na gharama zote za mazishi...
Huku Marekani wakiendelea kuzalisha HIMARS kwa wingi na kupanga mikakati ya kuzituma Ukraine, zimeendelea kutesa Warusi, hawana hamu nazo......
A key Russian-held bridge in Kherson was hit in a...
Guys nimeshindwa kujizuia na nimeona why not have it here in SIASA after all he has proved kuwa wazee muda wao umekwisha and whats more? I have a friend ambaye ame camp na team OBAMA in New...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema katika hotuba yake ya jioni kwamba shambulio la kombora kwenye bwawa la Krivoy Rog halitaokoa ari ya wanajeshi wa Urusi.
"Waligundua kuwa amri ya Urusi...
Naomba kuchukua nafasi hii kutoa ufafanuzi wangu binafsi kuhusu utata uliojitokeza kuhusu mazishi ya Malkia wa Uingereza Queen Elizabeth 11 siku ya leo!
Wapo viongozi walioalikwa rasmi...
Vilianzia Crimea vitaishia Crimea.....
Ukraine has recaptured its first village in Luhansk, a region that Russian forces took five months to bomb into submission and conquer.
Belogorovka is the...
Hii special operation imekua aibu na kero kwa Warusi, dah... kainchi kadogo ka Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi, kila nikiangalia hii ramani nashangaa sana
Kainchi ka Ukraine kwenye hii...
Wanajeshi wa Eritrea wamefanya mashambulizi makubwa katika eneo la Tigray nchini Ethiopia, msemaji wa kundi la waasi la Tigrayan, TPLF, amesema. Mjumbe wa Marekani alisema kuwa Marekani inafahamu...
DESTURI.
Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao.
Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi...
Rais wa Poland Andrzej Duda ameonya mataifa ya Afrika kuwa makini na kile alichokiita sera ya kifalme ya Urusi kutokana na kuongezeka kwa ushawishi wake katika masuala ya usalama na nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.