International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uhamasishaji wa kijeshi Urusi na kura za haraka za maoni katika maeneo yanayokaliwa mashariki mwa Ukraine ni ishara za udhaifu. Putin amekosea; gharama wanalipa maelfu ya Warusi kwa maisha yao...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Mataifa ya Magharibi yamelaani mipango ya Moscow ya kufanya kile kinachoitwa kura ya maoni ya dharura katika sehemu za Ukraine ambazo kwa sasa ziko chini ya udhibiti wa Urusi. Kura hizo...
8 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpaka sasa wamekamatwa 525 kwenye maandamano ya kupinga hiki anachokiita "mobilization" ya Warusi kwenda kupigana na kainchi ka-Ukraine... Several hundred people have been detained across Russia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnamo Februari 24, Urusi ilizindua uvamizi kamili wa Ukraine kutoka Belarusi kuelekea kaskazini, Peninsula ya Crimea iliyoambatanishwa na Urusi kuelekea kusini, na eneo lake la mashariki. Vita...
18 Reactions
59 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa taarifa za ndani ni kwamba Russia ilipanga kuwa imeiteka ikulu ya Kiev ndani ya siku mbili, wapachike vibaraka wao madarakani kisha warudi nyumbani. Lakini sasa hali imekuwa tofauti...
40 Reactions
204 Replies
15K Views
Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola. Ifahamike, kundi la...
1 Reactions
2 Replies
720 Views
21 September 2022 Pretoria, Republic of South Africa Former President Thabo Mbeki says the country has an enormous leadership challenge and pointed to Eskom as one of the institutions affected...
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Anayewaua matajiri wa Urusi hususan walio na ukaribu na Putin sijaelewa anawaua kwa nia ipi au ili iweje.... An aviation expert has become the latest Russian official to fall to his death in...
3 Reactions
6 Replies
969 Views
Waziri wa Ulinzi ameweka wazi hii Vita ni ya Russia na Western nimesheka order niandaliwe Uniform na Ant tank na Ant Aircraft...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Police dashcam footage shows witnesses rushing to assist a female officer, who was involved in a physical confrontation with a 64-year-old man during a traffic stop. Chanzo: CNN ========...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wapiganaji 205 waachiliwa Kati yao 108 ni wapiganaji waliokamatwa Mariupol Viongozi wao 5 watasalia Uturuki hadi mwisho wa Vita Wengine 10 wapiganaji wa nchi za nje, waachiliwa ikiwemo 3...
6 Reactions
4 Replies
732 Views
kama njia moja ya kupinga tukio la kumuua mwanamke kisa kaonyesha nywele zake, wadukuzi wamepiga chini tovuti za serikali ya Iran. Tehran, Iran – Several Iranian government and state-affiliated...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Tarehe 22 Septemba ni siku ya kutoendesha gari duniani. Mjini Xi’an, China, watu wanapanda subway kutetea mtindo mpya wa maisha mjini.
2 Reactions
2 Replies
452 Views
BY BRYAN OTIENO On August 2, the first ever consignment of avocados from Africa, and specifically Kenya, arrived in Shanghai, China. This was a culmination of more than three years of talks...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
South Sudan has bought a piece of land in Djibouti for the construction of a harbour in its latest effort to find an alternative to the port of Mombasa which is facing an onslaught from...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science. Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo...
3 Reactions
7 Replies
919 Views
Tume Huru ya Kitaifa ya Uchaguzi (INEC) imebainisha kuwa Vyama Vya Siasa 18 vimesimamisha wagombea Urais na Wagombea Wenza akiwemo Atiku Abubakar wa Chama Cha Upinzani cha Peoples' Democratic...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom