Kila siku tunasema humu hakuna taifa lenye nguvu kiuchumi na Kijeshi kuizidi USA kwa sasa.
Wakati Marais wengine kutoka mataifa mbali mbali wakipakiwa kwenye karandiga ya Bus kama wakazi wa Dar...
Hivi vita kuna wakati vinakua kama kioja, kuna maeneo Ukraine wanaingia fulu combat wakiwa tayari kupambana na kukuta yamekimbiwa na kubaki kama ghost town.
IZIUM, Ukraine (Reuters) -Ukraine...
MTAZAMO WETU KATIKA MSIBA WA MALKIA ELIZABETH II PALE UINGEREZA.
Ni takribani wiki mbili zimetimia tangu dunia iwe katika fukuto la msiba wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza aliyefariki mwezi...
Hii ndiyo Qatar; Ina mafuta imenyimwa chakula
TUESDAY SEPTEMBER 20 2022
Naam, watu wamezidi kuongezeka nchini Qatar na wingi huo unatokana na michuano mikubwa ya Kombe la Dunia inayokwenda...
habari zenu na poleni na majukum.
Haita chukua mda mrefu sana lakini itakua kati ya mwezi wa kumi 2022 hadi mwanzoni mwa mwaka 2023.
Kinu cha nyuklia kitapigwa makombora
janga la mionzi litaenea...
Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu...
Tuwekeni ushabiki pembeni.
Yalioko kwenye uwanja wa mapambano yanatisha.
Askari wa Russia wanaokamatwa katika uwanja wa mapambano wanafanyiwa unyama wa hali ya juu, tunaiomba Ukraine irudishe...
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa.
Alisema mtazamo wake...
Wazalendo wa Ukraine waendelea na mashambulizi makali, wamelipua ngome ya Urusi iliyokua na ghala kadhaa za silaha, na wanajeshi na ndege na zana zingine nyingi, Warusi walikua wamejichimbia...
Kwa ambavyo Ukraine wanatembeza kichapo, sasa hivi chochote cha Mrusi inabidi kufichwa mbali, wametorosha nyambizi zilizokua black sea.
=============
A Ukrainian strike on a village in the...
Warusi waliokimbia mapambano waliungana na wenzao na kujichimbia upande wa pili wa mto Oskil na kusuburi, ghafla wazalendo wa Ukraine wakawasili kama kawaida kishujaa na kufyatua kila kitu hadi...
Rais Joe Biden ametangaza kumalizika kwa maambukizi ya UVIKO-19 Nchini Marekani licha ya ripoti kadhaa kudai kuwa kuna Waathirika wapya wa ugonjwa huo wanaongezeka.
Anasema "Maambukizi hakuna na...
KKutoka kwa Askofu Mkuu wa Canterbury Justin Welby wakati wa ibada ya mazishi:
Aliwaambia waliohudhuria mazishi ya Malkia kwamba huzuni iliyowapata wengi imetokana na "maisha ya UKARIMU na...
Shirika la Misaada la Uingereza la Who is Hussain limeingia katika Rekodi ya Dunia kwa kuandaa idadi kubwa zaidi ya uchangiaji damu kwa siku.
Tukio hilo lililofanywa na Social Justice Charity...
Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo
Katika Ripoti hiyo...
Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo...
Pili Mwinyi
China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni...
Mashuhuda waliripoti kuona majengo yanatikisika ingawa bado hakukuwa na ripoti za haraka za madhara kwa binadamu, huku meya wa Mexico City akiripoti kuwa hakuna uharibifu mkubwa.
Licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.