Sasa Urusi imeonesha haina utani na hii vita

Sasa Urusi imeonesha haina utani na hii vita

Muju4

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
5,498
Reaction score
7,501
Kwakuwa tunapeana updates za vita basi salamu baadae.

Katika kuonesha kuwa sasa hawatanii Urusi imeamua kumuita Jenerali Mstaafu Pavel ambaye alipigana Afgan war kwenda kuongoza kundi la elites forces hii ni baada ya Gen aliyekuwa akiongoza kupatwa na majeraha baada ya kushambuliwa na mizinga ya Ukraine na inasemekana akawa amepoteza maisha.

Wajihi wa Jenerali wetu:-

1. Ni mtu mwenye miaka 67 na amestaafu si chini ya miaka 5 iliyopita.

2. Amepachikwa jina la "Mr. Lunchtime" na unaambiwa huwa anapata milo mitano kwa siku.

3. Ni jitu la miraba minne yaani yawezekana akafanana aliyekuwa muimbaji maarufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zamani Zaire aliyepata kutamba na vibao maarufu kama "Gerrant", "Hidaya", "Roger Mila" na "Yanga Afrika" Hayati Jose Kabasele "Yampanja" a.k.a The great Pepe Kale ....General Pavel anasadikika kuwa na kilo zaidi ya 120.

Nafikiri sasa Urusi anaenda kuonesha makali yake zaidi kwa kumrecall huyu "Beast" naambatanisha na picha yake hapa chini. [emoji28]

Screenshot_20220628-162725_Opera%20Mini.jpg
 
Sidhani Kama huyu Mwamba ana Mambo mapya,sijui kwanini sinaga Imani na mwanaume anayenenepa,huwa Naamini anayetumia akili kwenye Mambo yake Basi jua kitambi hakiji leo.

Unene huja pale akili ikiwa haishughukiki na Mambo mazito,sidhani Kama Putini anaweza muamini huyu mtu
 
Sidhani Kama huyu Mwamba ana Mambo mapya, sijui kwanini sinaga Imani na mwanaume anayenenepa, huwa Naamini anayetumia akili kwenye Mambo yake Basi jua kitambi hakiji leo.

Unene huja pale akili ikiwa haishughukiki na Mambo mazito, sidhani Kama Putini anaweza muamini huyu mtu
Wewe hauamini wakati Kamada ameshakabidhiwa kibangala aende front.
 
Kwakuwa tunapeana updates za vita basi salamu baadae.

Katika kuonesha kuwa sasa hawatanii Urusi imeamua kumuita Jenerali Mstaafu Pavel ambaye alipigana Afgan war kwenda kuongoza kundi la elites forces hii ni baada ya Gen aliyekuwa akiongoza kupatwa na majeraha baada ya kushambuliwa na mizinga ya Ukraine na inasemekana akawa amepoteza maisha.

Wajihi wa Jenerali wetu:-
1. Ni mtu mwenye miaka 67 na amestaafu si chini ya miaka 5 iliyopita.
2. Ni jitu la miraba minne yaani yawezekana akafanana aliyekuwa muimbaji maarudu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zamani Zaire aliyepata kutamba na vibao maarufu kama "Gerrant", "Hidaya",Roger Mila" na "Yanga Afrika" Hayati Jose Kabasele "Yampanja" a.k.a The great Pepe Kale ....General Pavel anasadikika kuwa na kilo zaidi ya 120.

Nafikiri sasa Urusi anaenda kuonesha makali yake zaidi kwa kumrecall huyu "Beast" naambatanisha na picha yake hapa chini. [emoji28]View attachment 2275534
😏😏😏
 
Sidhani Kama huyu Mwamba ana Mambo mapya,sijui kwanini sinaga Imani na mwanaume anayenenepa,huwa Naamini anayetumia akili kwenye Mambo yake Basi jua kitambi hakiji leo.

Unene huja pale akili ikiwa haishughukiki na Mambo mazito,sidhani Kama Putini anaweza muamini huyu mtu
Asante kwa kunipa moyo na mimi Mkuu nilikuwa najiuliza kwanini sipati kitambi kumbe sasa nimepata jibu.
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
Tumbo kubwa hilo awezi kazi huyu
 
Back
Top Bottom