Wakati vita vinaanza tuliaminishwa Ukraine imeisha na itazikwa kwenye kaburi la sahau ndani ya siku chache.....
Spain and Portugal’s football federations have confirmed Ukraine has been added to...
Rais huyo wa zamani wa Afrika Kusini sasa ni mtu huru baada ya kumaliza kutumikia hukumu yake hiyo iliyotokana na kosa la kuidharau Mahakama kwa kutofika katika kesi ilihusu rushwa.
Zuma...
Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya...
Wawili hao ni miongoni mwa watu maarufu waliochukua hatua za kisheria dhidi ya Kampuni ya Daily Mail ya Uingereza wakidai kuna ukiukaji mkubwa wa faragha.
Wanadai Dail Mail wametumia vifaa...
The Commonwealth Observer Group (COG) to Zambia released its final report on the 2021 general elections, which saw Hakainde Hichilema become the country’s seventh President.
The 14-member...
Wall Street re-launches Russian bond trading – Reuters
The US government has authorized allowing holders to dispose of their assets
Several major US banks have restarted facilitating trades in...
Hili limenishtua sana. Morocco ni nchi ya Kiislamu kwa asilimia 99.9 inawezaje ruhusu ulimwaji wa Bhangi kwa kusema ni zao la Biashara? Hapa mbona kama wanatuchanganya?
Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo.
Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya...
Putin anasema West Wana mbinu mbalimbali za kukumbatia Makoloni yao so huwezi kujua kama bado unatawaliwa kama hujawahi kujitawala
Duh Putin huyu halafu akina Tundu Lissu wanatokea huko huko kuja...
Wizara ya Afya imetangaza kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa MonkeyPox baada ya mtu mmoja mwenye historia ya kusafiri kugundulika kuwa na Maambukizi ya Virusi hivyo
Mamlaka zimesema zinaendelea...
- Kwangu mimi kitabu Cha kimataifa ninachosoma kwa Sasa kinahusu MAGEUZI YA KISIASA NA KIUCHUMI CHINA CHINI YA DENG XIAOPING. “CHINA UNDER DENG XIAOPING POLITICAL AND ECONOMIC...
Msemaji huyo wa Kremlin Dmitry Peskov ameiambia BBC kuwa Russia itachukua maeneo yote ambayo kwa sasa inayakimbia. Pia ameongeza kuwa "maeneo yaliyonyakuliwa yatakuwa ya russia daima dumu na...
Urafiki baina ya mtu na mtu mara nyingi huwa ndio chachu au msingi wa uhusiano kati ya taifa moja na jingine, ambapo urafiki huu unaimarisha maelewano na maingiliano ya pande zote mbili. Ni miaka...
Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku...
Katika kipindi cha miaka 10 iliyopita, China imehimiza uwekezaji katika nchi mbalimbali za Afrika unaolenga kutatua moja kwa moja changamoto zinazowakabili watu wa Afrika. Kupitia kauli mbiu yake...
Katika kipindi cha miaka kumi iliyopita uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukitajwa kuwa ni uhusiano wa mfano wa kuigwa kati ya nchi na nchi, na pia ni mfano wa kuigwa wa uhusiano...
Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora...
Polisi nchini Thailand wameripoti kuwa zaidi ya watu 30 wameuawa katika shambulizi liliofanyika kwenye kituo cha kulea watoto. Taarifa za awali zinasema shambulizi hilo limefanywa kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.