Hii ni baada ya kutwaa karibu majimbo manne ya kimkakati ambayo ndo yalikuwa yanashikilia uchumi wa ukraine kwa kiasi kikubwa.
Wiki jana urusi ilitangaza kuyatwaa wajimbo hayo kupitia kura ya...
Maafisa wamegundua njia hiyo haramu iliyounganishwa kutoka baharini ikiwa na urefu wa kilometa 4 katika moja ya kituo ambacho kinasambaza mapipa 250,000 ya mafuta kwa siku.
Mkuu wa Kampuni ya...
Katika hotuba yake ya usiku wa kuamkila leo raisi Zelensky amesema jeshi lake liko kwenye mapambano makali karibu na njia za kuelekea Sloviansk na Kramatosk eneo la Bakhmut, ambalo ni jimbo la...
Ujerumani yalalamika kuwa Marekani na nchi nyingine rafiki zinawauzia Ujerumani gesi kwa bei ghali mnoo...Ujerumani yasikitika kuwa nchi hizo zikiongozwa na Biden zinajaribu kunufaika zaidi na...
Russia’s parliament fully ratifies unification treaties
The Federation Council has approved agreements with four former Ukrainian regions on accepting them as new Russian territories
Russia’s...
Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea...
Maafa hayo yametokea katika Jimbo la Anambra katika boti iliyokuwa imebeba watu 85 kutoka Onukwu kuelekea Nkwo Ogbakuba.
Watu hao walikuwa wanahama kutokana na ongezeko la maji maeneo yao...
Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita.
Kwa msingi huo...
Mlipuko umetokea kwenye kambi ya jeshi Korea kusini muda mchache uliopita.
Taarifa za awali zinadai kwamba ni ajali.
#BREAKING: There has been an explosion at an Airbase in South Korea.
Early...
ilikua ni hujuma wala haihusiani na shambulio la HIMARS. ilikua ni ajali ya kawaida.
yah because hizi ndio habari pro russia wanaweza kuziamini kwa haraka na si vinginevyo.
Taasisi nyeti nchini Rwanda ikiwemo mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii sasa inaongozwa na Wataalamu wa kigeni.
• Christopher John Wales (Uingereza)
Mwenyekiti wa Rwanda Social Security...
Jamaa kaamua kulipuka tu hamna namna...isiwe tabu..kimsingi afe nao
District Commissioner Abdillahi Ali Waafow was among those killed in Wednesday's attack, the secretary-general of the Marka...
Marekani imetangaza dau la dola milioni 5 sawa na takriban Tsh. Bilioni 11.5 kwa atakayetoa taarifa zitakazofanikishwa kukamatwa kwa kiongozi wa waasi nchini #Uganda, Joseph Kony
Joseph Kony ni...
Trump: 'Ulimwengu unaicheka Marekani, unatutazama kwa dhihaka'
Oct 06, 2022 13:38 UTC
[https://media]Donald Trump
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema "dunia inatucheka na...
Mbunge Munir Zulu amesimamishwa kazi kwa muda wa Mwezi Mmoja kwa ya kusema Wabunge ni watu wazima "Wanaonyoa nywele zao za sehemu za siri", baada ya kukerwa na Mbunge mwenzie kwa kumtaja kuwa ni...
Rais Zelensky: Raia wa Urusi wanaandaliwa kwa vita vya kinyuklia.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema maafisa wa Urusi wameanza "kutayarisha jamii yao" kwa uwezekano wa matumizi ya silaha...
Marekani na Urusi zaendelea kushirkiana kwenye masuala ya uchunguzi wa anga,hii ni baada ya mwanaanga wa Urusi kupanda chombo cha Marekani Crew-5 kwenda kwenye kituo cha anga cha kimataifa (ISS)...
Wanajeshi zaidi ya 5,000 waogopa kuzingirwa, waamua kutoka nduki, ni mojawapo wa miji ambayo walikua wamejichukulia, shughuli inaishia Crimea maana ndiko ilianzia...
Sijui mgambo wanywa gongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.