International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Inapaswa tuwe na mbabe mmoja tu basi... The U.S. Fifth Fleet has indicated in a statement that the 'USS The Sullivans' and a Coast Guard ship intercepted the vessel during the day on November 8...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Putin anaimaliza Urusi yake kwa ujinga wake, soko linamtoka kizembe sana... "The era of Russian domination of gas is coming to an end, an era marked by blackmail, threats and coercion," Polish...
8 Reactions
55 Replies
5K Views
Bunge nchini Sierra Leone kwa kauli moja limeidhinisha Mswada utakaohakikisha kwamba Mmoja kati ya Wabunge Watatu, na theluthi moja ya Madiwani wote ni Wanawake Hivi sasa ni Wabunge 19 tu kati ya...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017. Nyusi amesema...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hawa ndio mumekaa mkisubiri wafanye maajabu ya kuiteka Kyev....
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Waandamanaji 15,000 walio kizuizini nchini Iran wako katika hatihati ya kunyang'anywa uhai kwa kujihusisha katika mfululizo wa maandamano yaliyoibuka na kuchachamaa baada ya kuuwa na polisi wa...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Leo Urusi wanasema wako tayari kuzungumza na kukubaliana kuacha vita, hawa hawa supapawa waliompa Zelensky masaa 24 kuachia ngazi. Zelensky siku zote amekua akijaribu kuwabembeleza waache vita...
8 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna mwamba mwingine huyu hapa Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Herodotus aliwahi kusema,"ni rahisi kuwadanganya watu wengi kuliko mtu mmoja".Terence McKenna aliwahi kusema,"Ukweli unatengenezwa kwa lugha,na wote tumefungwa katika lugha ya mtu fulani". Habari...
0 Reactions
100 Replies
14K Views
Wachimba migodi wawili ambao walitumia siku tisa wamenasa katika mgodi wa zinki ulioporomoka wa Korea Kusini wakiishi kwa kutumia unga wa kahawa wa papo hapo wameokolewa. Wanaume hao, wenye umri...
0 Reactions
2 Replies
523 Views
Chama cha marubani nchini Kenya KALPA,kimetoa wito kwa wanachama wake kususia kazi kuanzia leo Jumamosi Novemba 5. Taarifa iliyotiwa saini leo na katibu mkuu wa chama hicho Captain Murithi Nyaga...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Zaidi ya abiria 9,000 wamekwama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyata Kenya (JKIA) jijini Nairobi na katika viwanja vingine vya ndege vya kimataifa duniani kufuatia mgomo wa marubani...
1 Reactions
1 Replies
655 Views
UK minister resigns after bullying allegations Sir Gavin Williamson had been in the job for just 14 days Former UK Cabinet officer minister Gavin Williamson© AFP / John Sibley The government of...
1 Reactions
1 Replies
681 Views
Rais Zelensky wa UKraine na mataifa ya magharibi kwa ujumla wanashangilia sana majeshi ya ukraine kuingia kwenye mji wa kherson wakidai wameukomboa. Lakini ukweli ni kwamba hawajaukomboa ila...
8 Reactions
81 Replies
4K Views
Rais wa Ukraine, Zelenskyy atembelea mji wa Kherson uliokombolewa majuzi na vikosi vya Ukraine kutoka mikononi mwa Urusi. Mwanaume yupo ndani ya artillery range za Urusi na hamna kitu watafanya...
13 Reactions
70 Replies
4K Views
Waandishi wa habari wa CNN NA SKynews wamevuliwa wadhifa kwa kuripoti kutokea mji wa Kherson unaotajwa kukombolewa na Ukraine. Ukiacha waandishi hao mashirika mengi mengine ya Ukraine na nchi za...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Iran yaunda kombora la balestiki la Hypersonic Hawa jamaa Marekani alishachelewa kuwadhibiti mapema hii ndo funga kazi Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Atanyongwa kwa kuandamana, kosa lenyenye wanaliita "moharebeh" (enmity against God)', au adui wa "mungu". Hata hivyo maandamano yako pale pale. Acourt in Iran has issued the first death sentence...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ukisikiliza mikwara baina ya Marekani na China kuhusiana na bahari ya Pacific na vita vya kibiashara utafikiri kesho tutaamka kombora limetua Washington au Peking. Halafu ukasikiliza mikwara ya...
0 Reactions
3 Replies
424 Views
Hatimaye Papa Francis akubali kubariki ndoa za jinsia moja, kwa kudai mashoga nawo ni watoto wa Mungu na hakuna sababu ya kuwabagua. Je, makanisa Katoliki Afrika, Asia, Mexico, Brazil na...
5 Reactions
408 Replies
37K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…