Ukraine kutoa msaada wa chakula kwa Ethiopia

Ukraine kutoa msaada wa chakula kwa Ethiopia

Axel Lloyd

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
4,170
Reaction score
9,502
Ukraine imesema itatoa msaada wa nafaka tani 27,000 kwa Ethiopia taarifa imetolewa na Wizara ya miundombinu ya Ukraine.

Pia Ukraine imesema itatoa msaada wa tani 50,000 za ngano kwa Ethiopia na Somalia.

Infrastructure Ministry: Ukraine donates 27,000 metric tons of grain to Ethiopia.

The Infrastructure Ministry said on Nov. 16 that the grain is being transported on the Nord Vind bulk carrier via the UN-backed grain corridor.

On Sept. 19, Ukraine’s Cabinet Ministry said it will provide Ethiopia and Somalia with 50,000 metric tons of free wheat.

 
Anatafuta huruma huyo.. mbona kabla ya vita hawakuwahi kutoa msaada huo.... anaway wache walete ndugu zetu wapate nafuu ya njaa..
 
Anatafuta huruma huyo.. mbona kabla ya vita hawakuwahi kutoa msaada huo.... anaway wache walete ndugu zetu wapate nafuu ya njaa..
Tatizo hufuatilii pili Kabla ya Urusi kuvamia Ukraine hakuwahi kuja Afrika elewa Urusi sio USSR, USSR ni mjumuisho na Ukraine maana wengi vilaza humu, Siku hz Urusi anazurura Afrika kama omba omba bado kuja Afrika tu
 
Anatafuta huruma huyo.. mbona kabla ya vita hawakuwahi kutoa msaada huo.... anaway wache walete ndugu zetu wapate nafuu ya njaa..
Badala ya kuwashukuru eti mnaponda sasa nyie mmetoa nini kwa waafrika wenzenu au kipofu hamuongozi kipofu mwenzake.
 
Back
Top Bottom