Hivi Urusi anachotaka nini hasa kwenye dunia hii

Hivi Urusi anachotaka nini hasa kwenye dunia hii

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa
Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi

Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?

Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili Poland kwa hiyo kachoka na ukrain kaanza na Poland.

Lengo nini hasa? La yeye kufanya hivi?

Na je huyu Putin hafikiri kabisa wala kujali kabisa maisha ya watu duniani
Anazidi kuchokonoa Marekani na washirika wake ili wapigane.

Je, wakipigana ninani ambaye atakuwa salama kabisa hawa watu wakipigana

Mimi naona kama putin anataka kutuletea kiama apa duniani kabisa.

Na mwisho kabisa hili la Poland asije kuwa ni Mmarekani ndo karusha kombora ilo ili kumchonganisha Urusi na Poland au Ukraine wamerusha kombora hili ili kuchonganisha Urusi na Mmarekani.
 
Mkuu kwisha siku zote makombora kama haya yakitua sehemu kuna vifaa maalumu unaweza kupima na kujua yalikoyoka na waliotengeneza kumbuka hizo missiles ZINA code number pia.

Putin sijui anatafuta kitu gani na hii yote inatokana na kushindwa kwake vita nchini Ukraine ni hasira za kujinga za kutaka kupigana na watu ambao wanatauta maendeleo (westerners)
 
Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?
Kuwakomboa raia wa Ukraine kutoka utawala wa wanazi mamboleo wanaoongozwa na Zelensky na Azov.

Kuizuia Ukraine kujiunga NATO.

Kuharibu maabara za kutengeneza silaha za kibayolojia za Marekani huko Ukraine.

Kuwakomboa raia wa Luhansk na Donbas wanaozugumza kirusi dhidi ya mashambulizi ya Kyiv.

Kupambana na mila hatarishi za kimagharibi kwenye dunia yetu mfano Ushoga.

Sababu zingine ma-comrade wenzangu kina Bwana Utam Mathanzua STRUGGLE MAN Bukyanagandi
ngaboru
Paula Paul watanisaidia.
 
Masikini kenge Putin linatapatapa. Ukraine limepata aibu linaanza kuhamisha magoli kwingine nako libondwe

Itoshe kusema urusi ni kubwa jinga linaloongozwa na Putin kichwapanzi
Mbona kinyonge sana!Tunasubiri article 5 ifanye kazi!
 
Kuwakomboa raia wa Ukraine kutoka utawala wa wanazi mamboleo wanaoongozwa na Zelensky na Azov...
Umejitahidi sana mkuu,hongera sana.
Sababu nyingine muhimu sana ni ifuatavyo,

Ku-dismantle hegemony ya Marekani na kutengeneza a multi-polar World ambapo kila Taifa litakuwa na uhuru wa kuamua mambo yake lenyewe bila kuingiliwa na Taifa lingine.

 
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa
Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi

Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?

Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili Poland kwa hiyo kachoka na ukrain kaanza na Poland.

Lengo nini hasa? La yeye kufanya hivi?

Na je huyu Putin hafikiri kabisa wala kujali kabisa maisha ya watu duniani
Anazidi kuchokonoa Marekani na washirika wake ili wapigane.

Je, wakipigana ninani ambaye atakuwa salama kabisa hawa watu wakipigana

Mimi naona kama putin anataka kutuletea kiama apa duniani kabisa.

Na mwisho kabisa hili la Poland asije kuwa ni Mmarekani ndo karusha kombora ilo ili kumchonganisha Urusi na Poland au Ukraine wamerusha kombora hili ili kuchonganisha Urusi na Mmarekani.
machawa wake wanakuambia Marekan ndo kasababisha Urusi alipue Poland , hawa watu akili hawanaga kila muda wanaiwaza USA
 
NATO member mmoja akiguswa hats kwa bahati mbaya NATO na hata collective west watajibu accordingly dhidi ya adui aliyeshambulia.
Waitin...
Nimekaa pale yeyote kutoka NATO akirusha hats kipande cha muhogo niiteni anko magu.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
vua hiyo chupi made in China ndo uielewe dunia
 
Kuwakomboa raia wa Ukraine kutoka utawala wa wanazi mamboleo wanaoongozwa na Zelensky na Azov.

Kuizuia Ukraine kujiunga NATO.

Kuharibu maabara za kutengeneza silaha za kibayolojia za Marekani huko Ukraine.

Kuwakomboa raia wa Luhansk na Donbas wanaozugumza kirusi dhidi ya mashambulizi ya Kyiv.

Kupambana na mila hatarishi za kimagharibi kwenye dunia yetu mfano Ushoga.

Sababu zingine ma-comrade wenzangu kina Bwana Utam Mathanzua STRUGGLE MAN Bukyanagandi
ngaboru
Paula Paul watanisaidia.
kwel ww ni kubwa jinga , Ukraine wana demokrasia sio nchi ya mtu kujipangia lin awe rais lin apumzike lin arudi tena , Huo uzwazwa upo Urusi tu watu wawili wameitawala nchi wanapokezana tu
 
Ninajaribu kufikiria kitu Sipati majibu kabisa
Wanaojua naomba wanipe ukweli au wanieleweshe zaidi

Hivi ni nini sababu za Urusi kumpiga ukrain?

Leo nimesikia kuwa Urusi amerusha makombora mawili Poland kwa hiyo kachoka na ukrain kaanza na Poland.

Lengo nini hasa? La yeye kufanya hivi?

Na je huyu Putin hafikiri kabisa wala kujali kabisa maisha ya watu duniani
Anazidi kuchokonoa Marekani na washirika wake ili wapigane.

Je, wakipigana ninani ambaye atakuwa salama kabisa hawa watu wakipigana

Mimi naona kama putin anataka kutuletea kiama apa duniani kabisa.

Na mwisho kabisa hili la Poland asije kuwa ni Mmarekani ndo karusha kombora ilo ili kumchonganisha Urusi na Poland au Ukraine wamerusha kombora hili ili kuchonganisha Urusi na Mmarekani.
Putin anaumia sana kuona nchi nyingi ulimwenguni na mataifa yenye nguvu zaidi kuinga mkono Marekani hichi ndio kiini cha tatizo na shida ya Russia ilipo amesahau kwamba US waliifanya hiyo kazi kwa gharama babkubwa miaka mingi sana iliyopita hata tokea hatujazaliwa ili aweze kuitawala dunia na tuseme wamefanikiwa.

Sasa anapokuja mtu kama putini kuitawala kidikteta Russia anataka kujaribu kwa siku moja au mbili kuvunja uungwaji mkono US na labda hizo nchi ziwe upande wake amesahau kwamba sasa ni shida kwa sababu Amerika wamekuwa wakifadhili hizo nchi kiuchumi, wataalaam na kila aina ya msaada ambayo sasa imekuwa ndio maisha ya kila nchi kuishi kwa kuitegemea US.

Kuhusu Ukrean hii inajulikana na kila mtu kwamba ni jirani yake na sasa hapendi kuona Ukraine anakuwa nchi rafiki na adui yake ambaye anampiga vita Russia anaamini huko mbele itakuwa shida kwake kama Ukraine wakiekeza US na magharibi ndio shida tu na sasa juhudi zake kuzuia hili lisitokee ndio hichi anachokipata kutoka mataifa ya magharibi na Ukraine wenyewe.

Hilo kombora lilotuwa Poland ambako ni territory ya Nato na Urusi kujua vizuri matokeo ya Nato ukijaribu kushambulia mipaka yake ndio maana toka jana Urusi wanakataa mbingu na ardhi wao hawajahusika, ni dalili ya khofu na woga kwamba Ukraine tu imewafikisha hapo walipo saiv je NATO itakuwaje?

Kwaiyo wadau wa NATO wanafanya uchunguzi wa hilo bomb wakigundua limetoka Russia nadhan chochote kinaweza kuamuliwa jamaa kushughulikiwa on the spot au kumuonya vikali zaidi bwana putin ambaye sasa hali yake si nzuri sana tokea Ukraine wachukue jimbo la Kherson ambalo alipiga kura kulipeleka urusi.
 
Miaka hii yote, Urusi imekuwa ikitafuta 'world domination' hususani ushawishi ambao ilikuwa nao kabla ya kuvunjika kwa USSR.

Ukifuatilia siasa za Urusi, mara nyingi utawasikia watawala wakisema kuwa wanapigana vita dhidi ya "west" kwa "maslahi ya dunia" na propaganda nyinginezo.

Kilichopo ni kuwa, hii ni vita ya kutafuta kuitawala dunia (world domination) kati ya pande mbili huku upande mmoja (Urusi) ukitafuta namna ya kurejesha ushawishi wake uliopotea miaka takribani 30 iliyopita.
 
Back
Top Bottom