International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran. Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani...
5 Reactions
29 Replies
816 Views
ina ukubwa wa km za mraba 752 617 tofauti siyo kubwa sana na tanzagiza km za mraba kama 947 000, zambia ina watu milioni 20 tu vs tanzagiza zaidi ya milioni 60, hivyo zambia ni tupu kabisa, na 95%...
2 Reactions
3 Replies
532 Views
Mwenye ufahamu anisaidie Hivi USA anataka nini hasa kutoka Iran. Kuwa akikifanya Iran vita inaisha
3 Reactions
21 Replies
401 Views
Kilometer 4000 sio mchezo maana mwanzo nilidhani yanapiga mpaka kilometer 2000 tu...Hii ni message iran wanatuma [emoji599][emoji599][emoji599] IRAN JUST FIRED A BALLISTIC MISSILE AT A...
5 Reactions
41 Replies
996 Views
Wanaukumbi. 🇮🇷🇺🇸🇬🇧 Iran ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati kuelekea Diego Garcia Airbase, yalizuiwa njiani, kwa mujibu wa Wall Street Journal. Hii ni zaidi ya safu ya makombora ya...
5 Reactions
12 Replies
459 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, akizungumza na Al Jazeera leo Machi 18, 2026 amesema Mfumo wa kisiasa wa Iran haujayumbishwa na mashambulizi ya kijeshi wala mauaji ya maafisa...
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku...
4 Reactions
4 Replies
276 Views
Wanaukumbi. Baada ya zaidi ya saa 12, udhibiti wa Israel unasema "iliruhusu" kuchapishwa kwa athari ya kombora la Iran karibu saa 1 asubuhi huko Haifa...
3 Reactions
38 Replies
697 Views
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha...
3 Reactions
25 Replies
530 Views
Fairchild Republic A-10 Thunderbolt II ni ndege ya kijeshi ya Marekani iliyoundwa mahsusi kwa mashambulizi ya karibu (close air support), ikiwa na uwezo mkubwa wa kushambulia malengo ya ardhini...
8 Reactions
44 Replies
942 Views
Kwa jinsi Irani anawatesa Wamerekani na Swahiba wao Muisilaer naona wenda ndiyo ikawa mwisho wa ubabe wa Marekani,maana vita ianendeshwa kama kete kwenye draft tunamuona kila siku trump akilialia...
2 Reactions
6 Replies
267 Views
Maafisa wa jeshi la Marekani wanafanya maandalizi ya kina wa kupeleka wanajeshi wa ardhini nchini Iran, kwa mujibu wa mshirika wa BBC nchini humo, CBS News, ikinukuu vyanzo kadhaa visivyotajwa...
2 Reactions
5 Replies
345 Views
Eid Mubarak from Ambassador Dr. Mahmoud Thabit Kombo, Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation.
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Namuonea huruma sana huyu waziri wa mambo ya nje ya Irani,mtu mpole,mtu mwema na aliyeelimika vizuri sana,maana atauawa hivi karibuni,natamani atoroke Iran
5 Reactions
15 Replies
288 Views
Wanaukumbi. Trump anataka mataifa yaungane washirikiane na Marekani kupeleka majeshi Iran wakapigane kupita mlango wa Homuz Japan imekuwa ya kwanza kukutaaa. Trump alianzisha vita ambavyo sehemu...
10 Reactions
146 Replies
2K Views
Ripoti: Iran Yajaribu Kushambulia Kambi ya Marekani katika Bahari ya Hindi Iran ilirusha makombora mawili ya balestiki kuelekea kambi ya Marekani huko Diego Garcia katika Bahari ya Hindi. Maafisa...
3 Reactions
8 Replies
462 Views
Wandugu Nianze kwa kusema kwa sasa wote wamebaki mabubu,wameshikwa na butwaa hawajui waseme nini juu ya Netanyahu, na hii ni kwa sababu ya utashi wa mtu binafsi Huyu Netanyahu kwa sababu hata...
3 Reactions
15 Replies
382 Views
Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo. Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
2 Reactions
15 Replies
248 Views
Ukisikia kila kazi inachangamoto yake ndio hii, na moja ya watu wanakutana na changamoto ni Waandishi wa Habari. =========== Waandishi habari wakati mwingine hujikuta katika mazingira hatari...
2 Reactions
1 Replies
135 Views
Kombora la Iran lapigwa karibu na Hekalu la Temple Mount huko Yerusalemu. Kwa upande mmoja unaona utawala wa Kiislamu unaolenga Yerusalemu, ikiwa ni pamoja na maeneo matakatifu, na kwa upande...
0 Reactions
5 Replies
178 Views
Back
Top Bottom