International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Muda mfupi baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kutangaza kusitisha kushambulia vinu vya nishati vya Iran kwa siku tano, Wizara ya mambo ya nje ya Iran imesema hakuna mazungumzo kati yao...
5 Reactions
20 Replies
817 Views
Niaje waungwana Kwa sasa Trump asha panic, anagombana na kila nchi ili apate msaada wa kupambana na Iran. Iran hii ambayo yeye (Trump) alipoingia madarakani 2016 - 2020 aliiongezea vikwazo...
9 Reactions
22 Replies
853 Views
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia...
23 Reactions
162 Replies
6K Views
Niwakumbushe tu kuwa kama wewe unaiamini Biblia na Unabii wake, utakuwa umegundua kuwa inakubidi uijue historia ya matukio halisi ya wanadamu yalivyotokea hapo nyuma na kuhusisha na kile Biblia...
5 Reactions
36 Replies
761 Views
Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka...
3 Reactions
4 Replies
282 Views
Kamanda wa Jeshi la Anga la Walinzi wa Mapinduzi wa Iran amejifunika uso, akivaa Barakoa, kofia na miwani, akiwa na hofu ya usalama wake. Hii ni baada ya Israel na Marekani kulenga kwa ufasaha...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Marekani, August 19, 1876, Michael C. Kerr alikuwa spika wa kwanza wa baraza la Congress kufariki akiwa madarakani. Alifariki kwa ugonjwa wa consumption (TB). Huyu alitokea jimbo la Indiana. Mpaka...
17 Reactions
129 Replies
21K Views
Maelezo hayo ya kuchanganyikiwa Netanyahu ameyatoa siku moja baada ya kombora zito la Iran kupiga karibu kabisa na kinu cha nyuklia cha Dimona kilichopo kusini mwa Israel, ikiwa ni jibu la...
8 Reactions
29 Replies
827 Views
Jeshi la Colombia limesema leo kuwa takriban wanajeshi 80 wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali ya ndege ya usafiri kusini mwa nchi hiyo. Kulingana na shirika la habari la AFP, likinukuu chanzo...
3 Reactions
3 Replies
200 Views
Huu ni mjadala unaoendelea hapa Canada kwenye moja ya social blog( Copy and Paste and Translated) historically monotheism ilianzia pale middle east kwa hii jamii ya kiyahudi. Baadae the whole...
11 Reactions
147 Replies
2K Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Hakuna mazungumzo yoyote kati ya Tehran na Washington. Kauli za Rais wa Marekani ziko katika muktadha wa juhudi za kupunguza bei za nishati na kupata muda wa...
3 Reactions
4 Replies
235 Views
  • Redirect
Wanaukumbi. Katika kujibu matamshi hayo ya Donald Trump, Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema kuwa, hakuna mazungumzo kati ya Tehran na Washington. Donald Trump amesema saa moja iliyopita...
0 Reactions
Replies
Views
Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na...
4 Reactions
34 Replies
865 Views
Maneno ya aliyekuwa mkuu wa CIA ya kwamba D.Trump hana mipango madhubuti kuhusiana na Iran sasa yanatimia,juzi Trump alitishia kupiga miundo mbinu ya umeme ya Iran endapo hatoweza kuachia mlango...
1 Reactions
2 Replies
165 Views
Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent, ameviambia vyombo vya habari kuwa; Marekani imekubali kwa makusudi kuruhusu meli za mafuta za Iran kupita katika Mlango wa Hormuz bila kuzuiliwa...
2 Reactions
16 Replies
761 Views
Kuna dalili Marekani ndiye ataomba amani na Iran mana ametelekezwa na washirika wake Waarabu na NATO kwa sababu wanamjua, wakiishaingia kwenye vita Marekani anawakimbia anakaa pembeni. Habari...
4 Reactions
12 Replies
365 Views
Nilikuwa naangalia Al-Jazeera nikaona mahojiano ya John Mearsheimer (msomi maarufu wa siasa za kimataifa) Anasema , mashambulizi ya anga pekee haijawahi kufanikisha kufsnya regime change katika...
3 Reactions
17 Replies
475 Views
  • Redirect
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kusitisha kwa muda wa siku tano mipango yote ya kijeshi ya kushambulia miundombinu ya nishati ya Iran, kufuatia kile alichokielezea kama mazungumzo...
1 Reactions
Replies
Views
Ndege ya Shirika la Air Canada imepata ajali baada ya kugongana na gari la Kikosi cha Zimamoto katika Uwanja wa Ndege wa LaGuardia, nchini Marekani, usiku wa kuamkia leo. Ajali hiyo imesababisha...
1 Reactions
3 Replies
257 Views
Nimeangalia Al Jazeera TV, missile za Iran zilivyoipiga Israel, bado Iran wana nguvu za kijeshi. Kuna makazi ya watu yameharibiwa vibaya sana! Sikutegemea kuwa Iran bado ina uwezo huo! Trump...
16 Reactions
35 Replies
960 Views
Back
Top Bottom