International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

HARARE, Zimbabwe — Nurses at the country’s major public hospitals, including Parirenyatwa General Hospital and Sally Mugabe Central Hospital, have commenced industrial action this week, demanding...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Shirika la ndege la Qatar Airways limehamisha ndege zaidi ya 20 kuelekea katika uwanja wa ndege wa Teruel nchini Hispania mashariki kwa ajili ya kuhifadhi. Hatua hiyo inatokana na kuongezeka kwa...
2 Reactions
15 Replies
423 Views
March 23, 2026 Zimbabwe's Movement for Democratic Change (MDC) Deputy President and former Finance Minister Tendai Biti was detained by police Saturday in the eastern border city of Mutare, where...
0 Reactions
1 Replies
231 Views
AKILI NI NYWELE, KILA MTU ANA ZAKE! Mbali na kushambuliwa kijeshi, Iran inaingiaza zaidi ya Dola za Kimarekani Milioni 140 kwa siku kutokana na kuuza mafuta yalipanda bei. Hii ni zaidi ya Bilioni...
19 Reactions
52 Replies
1K Views
Baada ya mawiki ya kutupiana maneno na maandalizi ya pande zote 3 hatimaye Leo mtanange umeanza rasmi..... 1. Tumeona mapema Iran ameanza kujibu na alisema ikiwa atashambuliwa basi asset zote za...
5 Reactions
21 Replies
667 Views
Licha ya kuharibiwa vibaya miji ya Telaviv na miji mengine. Idadi ya waliokufa Isreal tunaambiwa 5. Yaani hawa wana roho ya paka? Hata wapigwe mizinga miili yao inapangua?
4 Reactions
6 Replies
240 Views
Siku ya Jumamosi Machi 21, Rais Donald Trump alitoa saa 48 kwa Iran kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz bila masharti yoyote. Alionya kuwa ikiwa muda huo utapita, Marekani "itafuta na kuharibu...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Hawa jamaa wanapigana kimkakati sana....Ona mvua ya Makombora yalivyokiteketeza kituo cha nyuklia cha Israel cha Dimona Kituo hiki kinalindwa na mfumo wa THAAD na Iron Dome lakini bado mizinga ya...
18 Reactions
71 Replies
2K Views
Asee hii ni habari mbaya kwa Wateule, Marekani, Saudia, UAE, Bahrain, Qatar na Kuwait. Kundi sugu la kigaidi linalofadhiliwa na Iran (Iran-backed terrorists organisation) The Houthi, wametangaza...
4 Reactions
17 Replies
379 Views
Newroz mwaka mpya wa Kizorostian Newroz (pia hujulikana kama Nowruz) ni sikukuu ya kale ya Mwaka Mpya wa Kiajemi ambayo huadhimishwa leo, Ijumaa, Machi 20, 2026, ikiashiria kuanza kwa msimu wa...
4 Reactions
16 Replies
400 Views
Ni dhahiri raia wa Iran wanahusika pakubwa kwenye kutoa taarifa nyeti kwa Israel, maana sielewi hawa Israel wanafaulu vipi kuwapukitisha viongozi wa Iran, jamaa wanauawa kizembe sana. Huyu hapa...
5 Reactions
21 Replies
544 Views
Nilimuuliza rafiki yangu wa US 'is Trump hawkish?' Akanijibu absolutely. Nikamwambia 'but he never fought a war in his 1st term' akanyamaza kimya tukaendelea na mambo mengine. Kiwango mtu...
5 Reactions
9 Replies
347 Views
Mimi ndio ningekuwa yeye,ningeufyata mapema,ningejiuzulu na kuwaachia wananchi kuchagua viongozi wanaowataka.Ningeisalimisha nchi kipigo chote hiki na kusalimisha nchi kuharibiwa.Sasa angalia watu...
2 Reactions
6 Replies
230 Views
Ripoti za hivi karibuni (Machi 2026) zinathibitisha kuwa kundi la Houthi nchini Yemen limetoa onyo rasmi la uwezekano wa kufunga mlango bahari wa Bab al-Mandab kama hatua ya kuunga mkono Iran...
5 Reactions
16 Replies
398 Views
Wakiristo hawawezi kabisa kupigana huku wakiwa wamefunga..
5 Reactions
23 Replies
471 Views
  • Redirect
Trump: Ikiwa Iran haitafungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz ndani ya saa 48, tutaharibu vituo vyake vya umeme Rais wa Marekani Donald Trump alitoa kauli ya mwisho kwa Iran, akionya kwamba ikiwa...
0 Reactions
Replies
Views
Afisa wa jeshi la Iran amesema kuwa jaribio lolote la Marekani au Israel la kujaribu kuupindua utawala wa Iran kupitia “machafuko ya silaha” litakabiliwa na jibu la moja kwa moja ambalo linaweza...
2 Reactions
9 Replies
471 Views
Si tuliambiwa Iran wanavunja demokrasia na kwamba wanastahili vikwazo? Kiko wapi sasa, halafu Iran kajibu kibabe kuwa hawana haja na hiyo ofa kwani hawana Surplus ya mafuta[emoji1787] Aisee kweli...
9 Reactions
25 Replies
556 Views
Ndege Bora kabisa ya Marekani isiiyoonekana kwenye rada Leo Tena imepigwa na kombora la kuangusha ndege la Iran. Irani wamepiga picha ya tukio zima na kusambaza picha hiyo,ambayo rubani...
5 Reactions
29 Replies
816 Views
ina ukubwa wa km za mraba 752 617 tofauti siyo kubwa sana na tanzagiza km za mraba kama 947 000, zambia ina watu milioni 20 tu vs tanzagiza zaidi ya milioni 60, hivyo zambia ni tupu kabisa, na 95%...
2 Reactions
3 Replies
532 Views
Back
Top Bottom