International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mwaka 2018 Marekani walirusha chombo kuelekea anga za mbali katika harakati za kwenda karibu zaidi na jua , umbali ambao haukuwahi kufikiwa na chombo chochote kile duniani Umbali wa miles...
21 Reactions
81 Replies
4K Views
Serikali ya India inapanga kuyapiga Marufuku Makampuni ya Simu ya China ambayo yanauza simu za Bei Rahisi ili kuruhusu Makampuni ya ndani kuweza kufanya vizuri. Makampuni yatakayoathirika na...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Preamble: I thought it important to bring this paper to the attention of the doubting Thomases and sleeping masses.Most people still believe that what we used to call natural disasters are "still...
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Akiwa Gavana wa Katanga Muda mfupi baada ya kuchukua madaraka akiwa Gavana wa Katanga, Moïse Katumbi alipiga marufuku uhamishaji wa madini ghafi, hivyo kulazimisha kampuni kubwa za kuchimba...
2 Reactions
2 Replies
535 Views
Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria (NUC) imetangaza maamuzi hayo ya kufungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ukitarajiwa kufanyika Februari 25, 2023. Wamesema...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao...
2 Reactions
2 Replies
953 Views
Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekuzwa nikimfatilia baba mtakatifu DRC mpaka South Sudan sijaona au kusikia mahala popote aliposema waache kupigana Bali kuwaombea amani tu. Sasa sijui amani kama inaweza kupatikana kweli bila...
1 Reactions
9 Replies
835 Views
Anaitwa Fortunat Biselele Alikuwa ni mshauri wa Rais wa Congo bwana Felix. Fortunat Biselele alikuwa inner circle ndani ya serikali ya Congo. Alikuwa anamshauri wa rais Felix kwa mambo MENGI...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha BCC wamarekani walikuwa wakingojea lifike eneo la bahari ili kuepusha madhara wa waliko chini ikibukwe puto hilo lilikuwa juu ya eneo la nuclear plant hivyo mabaki...
11 Reactions
147 Replies
10K Views
WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Iran imeonyesha pic picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
14 Reactions
64 Replies
6K Views
Mahakama nchini humo imemtoza faini ya Dola 900 za Marekani, Mwanaume mmoja kwa kukiri kumuua bila kukusudia Mwandishi wa Habari, John Williams Ntwali, baada ya kugonga kwa gari Pikipiki ambayo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali yasitisha shughuli za Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu (OHCHR) nchini Uganda OHCHR, idara ya Sekretarieti ya Umoja wa Mataifa, imepewa mamlaka ya kukuza na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Inavunja moyo na kuumiza kusikia na kuona Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani (Evangelical Lutheran Church of America) limemsimika rasmi Askofu wa kwanza anayejihusisha hadharani na mapenzi...
3 Reactions
123 Replies
16K Views
Anauliza, "Una uhakika?" Nikasema, "100%, hatakuua." Bennett alisema wakati wa upatanishi wake, Putin alikaidi ahadi yake ya kutaka kuipokonya silaha Ukraine, huku Zelensky akiahidi kutojiunga na...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mauaji yametokea Kaskazini mwa Nigeria ikielezwa watu wenye silaha ambao ni Wanamgambo pamoja na vikundi vya kigaidi kuvamia vijiji na kuanza kushambulia kwa risasi na kuchoma moto nyumba...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Februari 7, 2023, Kaunti ya Rongshui ya kabila la Wamiao, mjini Liuzhou, mkoani Guangxi, China ulikaribisha tamasha la kila mwaka la "Manghao." Mang Hao ni mungu wa milima katika hadithi ya kabila...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Habarini Wadau, Leo hii Nchi ya Israel kupitia Msemaji wake wa jeshi (IDF) imetuma rasmi jeshi lake la Uwokozi msaada kwa Binadamu nchini Uturuki Akiongea Msemaji huyo amesema kwamba...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom