Israel yatuma wanajeshi 150 na vifaa kuisaidia Uturuki

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,135
34,107
Habarini Wadau,

Leo hii Nchi ya Israel kupitia Msemaji wake wa jeshi (IDF) imetuma rasmi jeshi lake la Uwokozi msaada kwa Binadamu nchini Uturuki

Akiongea Msemaji huyo amesema kwamba

''Hawawezi kusahau historia yao na Uturuki na wapo tayari kutoa msaada wao wote kwa wananchi wa Uturuki''

Katika Comments za wananchi wengi wa Uturuki wameishukuru sana Israel kwa msaada wao wa kujitoa pamoja na kutoa silaha nyingi za uwokozi kwaajili ya waturuki.

Aidha wamesema sio suala la Siasa au Dini ila ni suala la Utu na Upendo. Zaidi wapo Waturuki wengi walioandika kuwa ISRAEL ni rafiki wao Mkubwa na sio nchi za kiarabu.

Unaweza kuona jinsi ambavyo Waislam wa Mbagala rangi tatu na Magomeni Mapipa wanavyoichukia Israel na kusema kuwa ni Adui wa Waislam.

Baadhi ya Comments za wananchi wa Uturuki ni hizi zifuatazo
Screenshot_20230207-165735.jpg
Screenshot_20230207-165713.jpg
 
Habarini Wadau,

Leo hii Nchi ya Israel kupitia Msemaji wake wa jeshi (IDF) imetuma rasmi jeshi lake la Uwokozi msaada kwa Binadamu nchini Uturuki

Akiongea Msemaji huyo amesema kwamba

''Hawawezi kusahau historia yao na Uturuki na wapo tayari kutoa msaada wao wote kwa wananchi wa Uturuki''

Katika Comments za wananchi wengi wa Uturuki wameishukuru sana Israel kwa msaada wao wa kujitoa pamoja na kutoa silaha nyingi za uwokozi kwaajili ya waturuki.

Aisha wamesema sio suala la Siasa au Dini ila ni suala la Utu na Upendo. Zaidi wapo Waturuki wengi walioandika kuwa ISRAEL ni rafiki wao Mkubwa na sio nchi za kiarabu.

Unaweza kuona jinsi ambavyo Waislam wa Mbagala rangi tatu na Magomeni Mapipa wanavyoichukia Israel na kusema kuwa ni Adui wa WaislamBaadhi ya Comments za wananchi wa Uturuki ni hizi zifuatazo
View attachment 2509492View attachment 2509494
iran katuma nini??
 
Mwisho wa siku tunasema binadamu wote ni ndugu haijalishi Dini,kabila wala rangi
When it comes to disasters nobody is safe; ubinadamu unakuwa muhimu kuliko dini, rangi, or other traits that divide us! Conclusively, ubinadamu outshines all other human qualifications!
 
Fuatilia mitandaoni utapata majibu acha kuleta fake news
Nimemtumia kiutani huyo jamaa kwakuwa hajui chochote, mpaka sasahv nchi 7 zimetuma wanajeshi kuisaidia Uturuki na Syria. Ila katika maafa ni Israel ndio inayojulikana zaidi duniani kuwa na vifaa na uwezo wa kukabiliana na maafa zaidi
IMG_20230207_195952.jpg
 
Huku anaua kwa risasi kule anaokoa waliokong'otwa na matofali.Dunia kweli makalio yamegeukia juu.
Hata ww mtu anaapia hatakula wala kunywa mpaka afute kivuli chako duniani utamchekea! Sio??
Na kumgeua kibla kabla hajatekeleza lengo lake!
 
Nimemtumia kiutani huyo jamaa kwakuwa hajui chochote, mpaka sasahv nchi 7 zimetuma wanajeshi kuisaidia Uturuki na Syria. Ila katika maafa ni Israel ndio inayojulikana zaidi duniani kuwa na vifaa na uwezo wa kukabiliana na maafa zaidi
View attachment 2509738
Acha ujinga mpaka sasa nchi zaidi ya 70zimesha toa msaada kwa Uturuki na Syria na Irani ikiwemo ,tena Iran katoa msaada mkubwa zaidi ya huo wa Israel maana yenyewe imetuma zaidi ya waokozi 250 na kesho inaanza kutuma shehena za madawa.

Alafu unacho takiwa kujua Israel ni razima hiisaidie Uturuki kwa sababu hata Uturuki iliisaidia Israel ilipo kumbwa na janga la moto.
 
Habarini Wadau,

Leo hii Nchi ya Israel kupitia Msemaji wake wa jeshi (IDF) imetuma rasmi jeshi lake la Uwokozi msaada kwa Binadamu nchini Uturuki

Akiongea Msemaji huyo amesema kwamba

''Hawawezi kusahau historia yao na Uturuki na wapo tayari kutoa msaada wao wote kwa wananchi wa Uturuki''

Katika Comments za wananchi wengi wa Uturuki wameishukuru sana Israel kwa msaada wao wa kujitoa pamoja na kutoa silaha nyingi za uwokozi kwaajili ya waturuki.

Aidha wamesema sio suala la Siasa au Dini ila ni suala la Utu na Upendo. Zaidi wapo Waturuki wengi walioandika kuwa ISRAEL ni rafiki wao Mkubwa na sio nchi za kiarabu.

Unaweza kuona jinsi ambavyo Waislam wa Mbagala rangi tatu na Magomeni Mapipa wanavyoichukia Israel na kusema kuwa ni Adui wa Waislam.

Baadhi ya Comments za wananchi wa Uturuki ni hizi zifuatazo
View attachment 2509492View attachment 2509494
Ushuuuzi. Hii inatusaidia nini kama sio kukoswa kufikiri vizuri?
 
Back
Top Bottom